Maktaba yangu ya nyumbani

Sina uchoyo wa vitu isipokua kwenye vitabu. Ukihitaji ntakwambia njoo usome nyumbani ukimaliza kiache. Na sababu ni kwamba, mwingine atapata mhemuko anakuomba kitabu hata kama hata kisoma na hakirudishi.
Pili unaweza kubahatika mtu akakirudisha lakini utunzaji tunatofautiana, kitabu kinarudi lakini unakikataa kwamba sio chenyewe kwa jinsi kilivyobadilika rangi na muonekano, hapo sijaongelea wale wanachora au kuweka highlighter kwa maandishi.
Kabisa. Watu wengi wanachukulia poa vitabu hawatunzi. Yaani kwao siyo kitu cha maana.
 
Mkuu Nyani Ngabu hongera sana kwa maktaba nzuri nyumbani.

Kwa mtiririko wa hivyo vitabu utakua into IT and/or Business field.

Binafsi sio mtunzaji mzuri sana wa vitabu huwa nagawa mara tu nikimaliza au kuviacha popote pale.

Nimekua muumini wa vitabu soft copies but for some reason bado nanunua magazines hardcopies, siwezi kabisa kusoma magazine online, hii leo nimenunua Men's Health na National Geographic.

Vitabu vya Kiswahili nilivyowahi kusoma bado ninavyo ila sasa nimekuwa-inspired kuanza kutunza vitabu vyote.
 
Quantum Physics na wenzake
Mambo ya cosmos
History & pre history
Self help books
How to books
Film & television books
Nutrition books etc

Nice. Last year nilisoma Astrophysics for People in a Hurry by Neil Tyson it was a good read.
 
Mimi kwenye simu ndo ninavyo vingi nadownload nasoma.

Ila sisomi novel na vitabu vyote vinavyofundisha formal education nadhan tutakuwa na taste tofauti.
 
Bufa,

I just keep it simple.

Kuwa na rundo la vitabu ambavyo hata huvitumii naona ni kama kutunza uchafu tu.

Maana mwisho wa siku hivyo vitabu vinaanza kukusanya vumbi na wadudu wanaotambaa.
 
Nice. Last year nilisoma Astrophysics for People in a Hurry by Neil Tyson it was a good read.
Neil Tyson mtu pekee anaeweza kukufundisha astrophysics na ukaelewa hata kama hauna background ya science.
 
Nyani Ngabu,

Lakini bingwa ukishakua na maktaba nyumbani haiwi kwa ajili yako pekee tena. Kuna vingine vitawafaa wengine au hata wewe siku za usoni.
 
Wale wa popote kambi, tunatembea na soft copies tu, kweli kusoma hardcopy kuna raha yake ila ni gharama na mzigo.

Inalazimu kutembea na softcopies kwa simu au pc ili akili iendelee kuchangamka.
 
Embu recommend vitabu vyako vitano naoma tuna taste zinazoendana..
Homo Sapiens & Homo Deus by Yuval Noah Harrari.
What is Real? By Adam Becker
Our Mathematical Universe by Max Tegmark
The Big Picture by Sean Carroll
Out There by Michael Wall
Lies My Teacher Told Me by James W. Loewen
Zero to One by Peter Thiel
Why We Sleep by Mathew Walker
You Must Set Forth at Dawn by Wole Soyinka
 
Back
Top Bottom