Maktaba yangu ya nyumbani

The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
12,867
Points
2,000
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined Oct 12, 2012
12,867 2,000
I just keep it simple.

Kuwa na rundo la vitabu ambavyo hata huvitumii naona ni kama kutunza uchafu tu.

Maana mwisho wa siku hivyo vitabu vinaanza kukusanya vumbi na wadudu wanaotambaa.
Lakini bingwa ukishakua na maktaba nyumbani haiwi kwa ajili yako pekee tena. Kuna vingine vitawafaa wengine au hata wewe siku za usoni.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,907
Points
2,000
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,907 2,000
Nikiweka makatabu ya kwangu hapa watu mtaruka madirishani hapa!!:)
Nyie walimu maktaba zenu nazijua.

Utadhani huwa mnashindana nani ana vitabu vingi kumzidi mwenzake...
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,907
Points
2,000
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,907 2,000
Lakini bingwa ukishakua na maktaba nyumbani haiwi kwa ajili yako pekee tena. Kuna vingine vitawafaa wengine au hata wewe siku za usoni.
Unachosema ni kweli kabisa. Point well taken.
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,792
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,792 2,000
Wale wa popote kambi, tunatembea na soft copies tu, kweli kusoma hardcopy kuna raha yake ila ni gharama na mzigo.

Inalazimu kutembea na softcopies kwa simu au pc ili akili iendelee kuchangamka.
 
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
371
Points
1,000
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
371 1,000
Embu recommend vitabu vyako vitano naoma tuna taste zinazoendana..
Homo Sapiens & Homo Deus by Yuval Noah Harrari.
What is Real? By Adam Becker
Our Mathematical Universe by Max Tegmark
The Big Picture by Sean Carroll
Out There by Michael Wall
Lies My Teacher Told Me by James W. Loewen
Zero to One by Peter Thiel
Why We Sleep by Mathew Walker
You Must Set Forth at Dawn by Wole Soyinka
 
M

Mwananchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Messages
2,654
Points
2,000
M

Mwananchi

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2012
2,654 2,000
Nimekulia katika mazingira ya uanazuoni.

Toka nimeanza kujitambua nilizungukwa na kila aina ya vitabu nyumbani.

Niseme tu kuwa nyumbani kulikuwa na maktaba ndogo.

Ukubwani napo nimejitahidi kwa kiasi chake nami kuwa na kiji maktaba changu cha uongo na kweli.

Sasa basi, hebu tutupie picha hapa za maktaba zetu za nyumbani.

Na si lazima hizo maktaba ziwe ni vitabu tu. Yaweza kuwa chochote kile....kama wewe ni stripper tupia stripper outfits zako, stripper heels, nk.

Kama wewe ni mganga wa kienyeji/ mchawi kama Mshana Jr, tupia matunguri yako tuyaone.

Kama wewe ni mbeba maboksi kikweli kweli basi tupia hizo steel-toed boots zako na helmet tuzione.

Naanza kwa kuonyesha njia. Je, kwa kuangalia aina ya vitabu vilivyopo hapo kwa maktaba yangu, waweza kukisia fani yangu?

Here we go....

View attachment 1148806View attachment 1148807
Nimeona vitabu viwili tu vingine ni combined one book Excel and information system
 
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
3,072
Points
2,000
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
3,072 2,000
Homo Sapiens & Homo Deus by Yuval Noah Harrari.
What is Real? By Adam Becker
Our Mathematical Universe by Max Tegmark
The Big Picture by Sean Carroll
Out There by Michael Wall
Lies My Teacher Told Me by James W. Loewen
Zero to One by Peter Thiel
Why We Sleep by Mathew Walker
You Must Set Forth at Dawn by Wole Soyinka
Asante sana
 

Forum statistics

Threads 1,315,255
Members 505,171
Posts 31,851,570
Top