frabel
Member
- Mar 13, 2021
- 96
- 60
Uvimo Maktaba
Maktaba yetu leo hii itaangazia Mlinganyo wa gredi ya saruji, aina ya mchanga na aina za maji kwa ajili ya plasta na vigae.
Uvimo tumeendelea kutoa elimu na kujadilisha mada mbalimbali, adhma yetu kuu tukiwa kama wataalam tulio wekeza kwenye tasnia ya ujenzi na makazi ni kusaidia wadau wa ujenzi kuepuka au kupunguza hasara zitokanazo na mafundi wasio wataalam wasababishao hasara. _ Hata hivyo sisi pia tunafanya kwa vitendo kusaidia
Kimsingi tuangalie resho na aina za
1-Sement
Si kila mfuko wa sement una resho sawa na mingine kwa sababu
i-Sementi #32.5
Hi ni gredi ya chini, ina gundi kidogo resho yake inatofautiana na 42.5
ii-Sementi #42.5
Hii gredi ya juu ,ina gundi nyingi, resho yake na mchanga ni kubwa.
Hata hivyo aina zote hutegemea aina ya kazi na imetoka kampuni gani.
2-MCHANGA
Mchanga hutofautiana na kutegemeana na mahali ulipo chukuliwa.
i-Mchanga wa mtoni.
Sifa kuu ya mchanga wa mitoni au barabarani ni ukubwa wa punje zake.
Resho yake ni tofauti na ile ya (ii)
ii- Mchanga wa nchi kavu bila chumvi.
Sifa kuu ni punje ndogondogo.
Resho yake nitofauti na (i-)
iii- Mchanga wa nchi kavu asili ya chumvi.
Resho yake nitofauti na (i&ii-)
Kwa ujumla wake aina ya mchanga na mlinganyo una mchango wa kumomonyoka kwa plasta na vigae
3-AINA YA MAJI
i-Maji ya chumvi.
Yana uwezo mkubwa wa kukata nguvu ya sement.
Mlinganyo wake ni tofauti na (ii) kutokana na pH ya maji haya ni ndogo sana, inapo kutana na saruji huleta madhara.
ii-Maji baridi/portable water.
Hayana chumvi na hutumika kwa shughuli zote za kijamii.
pH yake ni kubwa kiasi cha kutovunja nguvu ya sement.
Kimsingi injia au fundie wako anapashwa kutambua haya kabla ya kuanza kazi. Vinginevyo utapata shida siku za usoni.
Hata hivyo kwetu Uvimo, resho zote huzingatia sababu 3 hapo juu ili kuwa na nyumba madhubuti.
Ili kuepuka matapeli yanayo tumia jina la UVIMO kuharibu , Maktaba yetu inakukumbusha kuwa, namba za ofisi zetu ni
0629361896
0753927572
Aksante.