Maktaba ya Jeshi kuitwa Jakaya Kikwete

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Source TBC1: MAKTABA ya kijeshi huko imezinduliwa leo na kupewa jina la JK. Sasa kila kitu kitapewa jina hili lisilosafi mwisho wa siku hadi chupi, meza, vikombe, kandambili n.k vitaitwa JK. Watanzania bwana tunapenda sana kujikomba mtu mwenyewe hana shule kama mimi hapa, fisadi na mtu wa visasi. Sasa Je kupewa jina la huyu mkwe.re inamaana wajeda wawe wanaiga tabia zake. Dah kwa kweli ufisadi haushi hapa Tz.
 
kulishawahi kuwa na uzi hapa kuhusu Jina zuri la Kumuenzi Kamanda JK, mmh watu waliweka majina mengi hapa weee acha tu, sikumbuki vizuri ile thread japo ni kama mwaka hivi umepita but ilikua nzuri sana
 
Itakuwa ajabu na haipendezi kuiita maktaba ya taasisi nyeti kama hii jina la mtu anayesifika kwa kutopenda kusoma na kutunga vitabu. Heri wangeiita jinajingine lakini si Jakaya Kikwete. Kwani lazima majina ya wakubwa? Kwanini wasiite kisima cha maarifa au hata jina la wasomi kama Shaban Robert? Kwa vile jamaa yetu anapenda sana sifa hata asipostahiki na watu wake wanapenda kumuabudia kwa kuwapa ulaji, kituko hiki kinaweza kufanyika. Anyways, wengine watakaokuja baadaye wanaweza kufutilia mbali jina hilo kwa vile halifanani na taasisi yenyewe. Halina motisha wala ushawishi so to speak.
Source TBC1: MAKTABA ya kijeshi huko imezinduliwa leo na kupewa jina la JK. Sasa kila kitu kitapewa jina hili lisilosafi mwisho wa siku hadi chupi, meza, vikombe, kandambili n.k vitaitwa JK. Watanzania bwana tunapenda sana kujikomba mtu mwenyewe hana shule kama mimi hapa, fisadi na mtu wa visasi. Sasa Je kupewa jina la huyu mkwe.re inamaana wajeda wawe wanaiga tabia zake. Dah kwa kweli ufisadi haushi hapa Tz.
 
hujasikia juzi kapandisha vyeo makamanda kadhaa wa jwtz, hivyo ni mwendo wa kulipana fadhila tu.!
 
Jk kawafanyia mengi mazuri na ya kukumbukwa ndani ya jeshi zaidi ya raisi yoyote wa JMT mpo hapo hawajakurupuka kutoa jina hilo
 
Ndo tayari ishapewa hlo jina la jk sasa..kama hupendi,hama nchi.
 
Acheni Majungu kila Mtu anavyopenda wala si kujikomba, safi walivyoita JK ni moja ya kumkumbuka Shujaa wetu aliyeleta Mabadiliko mpaka mimi na wewe tukapata kwa kusemea Ahsante JK ahsante Handsome Boy
 
Ninaamini katiba na sheria za nchi haziruhusu wala kubariki wizara, taasisi na idara zote za serikali kupewa majina ya watawala ama watu maarufu kwa lengo la kuwaenzi.

Mila na desturi za Tanzania na watanzania tangu ikiitwa Tanganyika tumekuwa utaratibu wakutotumia majina ya watawala ama watu mashuhuri kwenye wizara, taasisi na idara za serikali.

Ni vema na haki rais Jakaya Kikwete na serikali yake wakaenzi mila hii na desturi yake!

Hii ni taasisi nyeti haihitaji siasa!
 
Nshaongea na Babangu mzazi kuna haja ya kuhama hii nchi "walai nakuapieni":confused2:
 
Hap zamani za kale aliwahi kutokea mtawala mmoja aloongoza nchi kwa mkono wa chuma alopenda kila akimaliza sentnsi kwenye Hotuba yake basi watu waitikie ' zidumu fikra SAHIHI za mwenyekiti' kipindi ambacho watu wake walokuwa wakipata umeme ni chini ya 10 %, wanaimba ujamaa na kujitegemea lakini wanakula ugali wa mahindi ya njano toka USA ya msaada.marufuku kuagiza nguo kutoka nje lakini viwanda vya ndani havina uwezo hata wa kuzalisha sanda za kutosheleza mahitaji ya maiti. Watoto wanasoma chini ya miti na wanafundishwa na walimu walioshindwa mtihani wa elimu ya msingi maarufu walimu wa Upe.
 
ebu acheni kelele watanzania kila binadamu anamazuri na mabaya lakini nimeshangazwa sana kwa takwimu haasa humu jf watu wanampinga sana jk cha msingi yeye ni raisi na hata kama kuna kitu cha kurekebisha mbona kila mtu ana fursa yaa kusema au jk amewafanya nini jamani ni mtazamo tuu japokuwa namtete mtu ambaye simfahamu ila roho tuu ndiyo inanituma kusema hivyo .??
 
Source TBC1: MAKTABA ya kijeshi huko imezinduliwa leo na kupewa jina la JK. Sasa kila kitu kitapewa jina hili lisilosafi mwisho wa siku hadi chupi, meza, vikombe, kandambili n.k vitaitwa JK. Watanzania bwana tunapenda sana kujikomba mtu mwenyewe hana shule kama mimi hapa, fisadi na mtu wa visasi. Sasa Je kupewa jina la huyu mkwe.re inamaana wajeda wawe wanaiga tabia zake. Dah kwa kweli ufisadi haushi hapa Tz.

ata akiita kila kitu jina lake hii leo,kuja kubadili hapo baadae inawezekana,hivyo hakuna tatizo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom