Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 744
Source TBC1: MAKTABA ya kijeshi huko imezinduliwa leo na kupewa jina la JK. Sasa kila kitu kitapewa jina hili lisilosafi mwisho wa siku hadi chupi, meza, vikombe, kandambili n.k vitaitwa JK. Watanzania bwana tunapenda sana kujikomba mtu mwenyewe hana shule kama mimi hapa, fisadi na mtu wa visasi. Sasa Je kupewa jina la huyu mkwe.re inamaana wajeda wawe wanaiga tabia zake. Dah kwa kweli ufisadi haushi hapa Tz.