Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,134
- 4,293
Inawezakana tunajua ama hatui ila huwa nasema mara nyingi kuna mamia ya wazungu wasiofahamu lugha ya kingereza lakini bado ikawa fahari zaidi kuijua lugha yao kuliko hiyo iitwayo lugha ya dunia (maneno ya kukera kwa wazalendo wa lugha).
kumekuwa na usambazaji wa video kadhaa zinazoonyesha baadhi ya wasanii filamu na muziki wakiwa wanaongelea makosa makosa katika lugha ya kingereza huku video hizo zikiwa na kielelezo cha kuwakejeli ama kuwacheka au kuwaonyesha dharau kuwa hawana elimu huku baadhi ya watu wakiwasihi eti warudi shule kujifunza kiingereza.
siyo kosa kumnasihi mtu kujifunza lugha ya kingereza ila kujua ama kutokujua kingereza siyo kipimo cha elimu maana ingekuwa ni kipimo cha elimu basi waingireza wote wangekuwa wasomi.
kama ni mtu uliewahi kukutana na watu ama watblamu wa mataifa mengine mbali na Tanzania utakiri kwamba mbali na sisi,kwao kuna wanasheria,madaktari,walimu na wasomi wakubwa wasiojua kingereza na tena kingereza kuwa lugha ya changamoto kwao ila bado waka wasomi.