Uchaguzi 2020 Makosa ya wakubwa yanavyomnufaisha Tundu Lissu

Nafikiri ITV na vyombo vingine vya mitandaoni siyo wanajipendekeza au wanajituma kumfurahisha JPM.
Kinachotokea hivyo vyombo vinamjua Lissu hachelewi kutoa kauli zinazoweza kupelekea kuwaingiza matatani vyombo usika kwa kurusha matangazo ambayo yanaweza kutafsiriwa kama uchochezi au ya uvunjifu wa sheria kwa mujibu wa leseni za urushaji matangazo. Ngumu kuhariri matangazo yanayorushwa mubashara (live), na Lissu is very unpredictable kwakweli, muda wowote anaweza kurusha maneno makali sana.

Mhariri wa gazeti flani ana kesi ya kujibu mahakamani sababu ya kuchapisha kauli au maneno flani ya Lissu. Kila siku kushinda mahakamani na kuwalipa wanasheria sababu ya kutaka kuwafurahisha watu wa chama flani ni uzembe katika biashara. Mara kadhaa tumesikia vyombo kama Clouds FM wakipigwa faini sababu ya maneno au simulizi flani ya mmoja wa watu walio alikwa kwenye kipindi cha njia panda!!

Kila mtu anajua jinsi TCRA inavyo zilima faini kubwa vyombo vya habari kwa kurusha vitu vinavyo tafsiriwa kama uvunjivu wa sheria na maadili.

ITV na media zote they are playing smarty kama ujuavyo sasa biashara ngumu na faini wanazolipa zinawaumiza zaidi wao kama biashara.

Ukumbuke mwisho wa siku zile ni biashara kama biashara zingine siyo charity organizations.
Kuonewa kwa watu wanaotofautiana na Magu ndo jambo kuu linaloenda kuuangusha utawala wa magufuli mwaka huu.
 
Inaweza kuwa JPM ana nia nzuri sana na Tanzania na Watanzania wenyewe. Ila tatizo ninalo liona ni kwamba wasaidizi wa jamaa wana mpa taarifa negative, han awashauri wakweli. Na hasa baada ya wao kugundua Baba la Baba anapenda kusifiwa basi wao kila jambo ni mapambio tuu. Kiasi kwamba wamempoteza mkuu.

Laabda akiingia this time atakuwa na washauri wazuri maana ana mawili, kufanya vibaya historia ije kumhukumu au afanye mema aje akumbukwe kama walio mtangulia.

Ila kwa sasa hawa alio waokota jalalani wamempoteza.. Anatakiwa ajifunze kutokea hapo. Na ajue hii nchi sio ya Wasukuma tuu. Tuko makabila zaidi ya 120 na wote wanatakiwa kutoa michango kwenye hili Taifa. Nimeongea tuu jamani napita
Umenena vema lakini siyo sana.
Tabia yake mheshimiwa ni hiyo tuionayo.
Ni mtu wa kufanya mambo kwa misuli kwa kinywa chenye maneno ya ovyo.
 
Kwa wanamtandao, Lissu anaonekana ni nyota iliyowadondokea

Kwa wachambuzi wa siasa na wasomi waliobobea kiufahamu, Lissu si mwanasiasa, wala si mwanaharakati, ila ni mtu anajifanya mjuaji - hajui kama hajui

Kwa wapiga kura, Lissu ni mmoja wa mavuvuzela wa wagombea

Lissu amejimaliza mwenyewe kabla ya kupanda kwenye jukwaa la kampeni, labda abadili kauli zake.
Atawanyuka kweli mwaka huu.
 
Na haya ndo matokeo ya kumuonea mtu. Kila kitu kinachomuhusu kitaonekana cha kuvutia

Alionewa na nani? Huo ni mshahara aliolipwa kwa kuwahadaa wengine waingie kwenye madhila ya maandamano, kumbe yeye anasubiri mabilioni ya EL.

Bado haja pata fundisho. Hotuba zake mara zote ni kuhimiza maandamano.
 
Umenena vema lakini siyo sana.
Tabia yake mheshimiwa ni hiyo tuionayo.
Ni mtu wa kufanya mambo kwa misuli kwa kinywa chenye maneno ya ovyo.
Shida ndiyo hiyoo. Kujisahau na kudhani Tanzania ni sawa na ile nyumba yake kule Chato kwamba akikohoa ina jukikana baba mwenye nyumba yupo.
Wasaidizi wake wana shindwa kumuambia mwisho wa mipaka yake linapo kuwa jambo la kitaifa. Hasa ukuchukulia maanani hana diplomasia ya utawala.
Kumbuka maneno ya Mh. Kikwete juzi kule Lupaso. Kwamba kiongozi anae penda sifa ni hatari. Kiongizi asiye penda kupingwa ni hatari. Hapo ndipo tulipo kwa sasa.. Natmani sana ajifunze. Kwamba yeye ni kiongozi na sio mtawala... Hata Biblia in sema Mungu aliwatuma Mitume wakawe Viongozi na sio watawala..
 
TUNDU LISSU, huenda akawa ni miongoni mwa wanasiasa wenye bahati kubwa!

Ni mwanasiasa, anayenufaika sana na makosa ya wakubwa! Makosa ya wakubwa kwa kujua au kutokujua, kwa kushauriwa au kutokushauriwa vizuri yameanza kumjenga Tundu Lissu.

Awamu hii ya tano, imejenga marafiki wengi wa kificho na maadui wengi wa kificho. Marafiki wa kificho wa awamu hii ni wale wanaojituma kufanya kazi kwa niaba ya CCM au Serikali.

Lipo kundi jingine la marafiki wa kificho wao wanampenda zaidi Rais Magufuli, kuliko wanavyokipenda Chama cha Mapinduzi(CCM). Hawa wako wengi. Na kwa kipindi hiki, wanaojituma kufanya kila kitu wakidhani wanamnufaisha Rais.

Kwa uzoefu wangu mdogo wa mambo haya, ni kwamba kundi hili hujifanyia mambo yake bila kutumwa na mtu yoyote, wala taasisi yoyote yenye mamlaka. Lakini hutumia nembo au kichaka cha kutumwa ili waweze kuaminika.

Kila awamu ya utawala huwa na kundi kama hili. Tofauti ni kwamba awamu hii imezipiku awamu zote kuwa na makundi nje ya mfumo rasmi yanayoingiza mkenge watu na hata kuharibu taswira ya Rais!

Nitatoa mifano: Wakati wa hamahama za wabunge wa upinzani kwenda CCM, Kuna watu walijituma kufanya kazi hiyo ili kumfurahisha Rais. Haku kuwa na makubaliano maalum, bali wengi walio hama waliingizwa mkenge!

Rais alipewa taarifa kuwa watu hawa wanampenda na kumuunga mkono! Kuna kilio kikubwa huko kwa sasa! Na zahma kubwa linakuja endapo wakubwa wataamua kuwarejesha kwa nguvu wale wote waliokataliwa na Wajumbe. Hapo ndipo makosa ya wakubwa yatakapoanza kumnufaisha Tundu Lisu.

Hotuba za Lissu sasa zinazuiwa na watu ambao wanaojituma. Hawapendi Rais asemwe hata kama yeye binafsi anapenda kusikiliza maoni ya Lissu.

Chombo kikubwa kama ITV kufanya jambo la kijinga na kitoto kama hilo ni matokeo ya kundi hili kujipenyeza kila pahala kwa lengo la kumfurahisha Rais!

Badala ya kumsaidia Rais, Sasa wanamjenga Lissu! Pamoja na ukweli kuwa Tundu Lissu alisikika na kutikisa sana kipindi cha KIKWETE! Lakini katika awamu hii amejiongezea umaarufu maradufu!

Umaarufu wa Tundu Lissu, umeongezeka sana ndani ya siku chache! Wanaopenda kutukana mnakaribishwa, lakini huo ndiyo ukweli mchungu.

Hotuba za Lissu zinatafutwa kwa sababu wanaojituma wanamzimia maiki anapoongea. Naamini, wanaofanya hivi hawatumwi kufanya hivyo, bali wanajituma.

Na kwa sababu hata wakubwa hawakemei wala kukataa vitendo hivyo hadharani, basi wote wanashiriki hatua kwa hatua kumwimarisha Tundu Lisu.

Haiwezekani kama Chama, tufanye kazi kubwa ndani ya Miaka mitano. Tufanye kampeni sisi wenyewe, tuimarishe uchumi wetu, harafu tushindwe kuwa na hoja za kumjibu Tundu Lisu, ambaye hakuwepo nchini kwa muda mrefu mpaka tupate msaada wa watu wanaojituma kuzima maiki za Lissu ili asisikike!

Hapa Kuna tatizo! Makosa yetu wenyewe ndiyo yanamejenga Tundu Lissu.

Wahenge husema: Hata anayerudi nyuma, ana mbele yake anayo kwenda, japokuwa sisi tunaotizama tunaona anaelekea nyuma.

Ndimi Mkulima wa Bamia, Bonde la Mto Simiyu-Magu, Mwanza.
Nani alikwambia kila upuuzi lazima usikike hadharani ?jamaa yenu aspojirekebisha atazimiwa mic sana tu.
Soma Sheria ya maudhui mitandaoni
 
Alionewa na nani? Huo ni mahaharaj aliolipwa kwa kuwahadaa wengine waingie kwenye nadhila ya maandamano, kumbe yeye anasubiri mabilioni ya EL.

Bado haja pata fundisho. Hutuba zake makazi wake ni kuhimiza maandamano.
Mataga mbona kama umechanganyikiwa??? Andika vizuri basi 😀😀😀😀😀

Huyo ndo Lissu. Na bado!!! Picha halisi mtaiona hapo October ya Malawi yanavyoenda kutokea Tanzania
 
Very Deep Mkuu.. Ukweli mtupuu..

Matumaini hewa, endelea kukua upate akili, Hizi zote ni hatua za kupitia mwisho utajua ukweli. Jambo la muhimu uwe na akili yenye kumbukumbu. Usiwe na ya kuku.
 
Nani alikwambia kila upuuzi lazima usikike hadharani ?jamaa yenu aspojirekebisha atazimiwa mic sana tu.
Soma Sheria ya maudhui mitandaoni
Ila jua tu mwisho wa yote ni October 2020. Huyo mnaemzimia mic baada ya October 2020 ndo atakuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania
 
Inaweza kuwa JPM ana nia nzuri sana na Tanzania na Watanzania wenyewe. Ila tatizo ninalo liona ni kwamba wasaidizi wa jamaa wana mpa taarifa negative, han awashauri wakweli. Na hasa baada ya wao kugundua Baba la Baba anapenda kusifiwa basi wao kila jambo ni mapambio tuu. Kiasi kwamba wamempoteza mkuu.

Laabda akiingia this time atakuwa na washauri wazuri maana ana mawili, kufanya vibaya historia ije kumhukumu au afanye mema aje akumbukwe kama walio mtangulia.

Ila kwa sasa hawa alio waokota jalalani wamempoteza.. Anatakiwa ajifunze kutokea hapo. Na ajue hii nchi sio ya Wasukuma tuu. Tuko makabila zaidi ya 120 na wote wanatakiwa kutoa michango kwenye hili Taifa. Nimeongea tuu jamani napita
Hivi wakati tunampa Magufuli miaka mingine mitano ya kuendelea kuharibu nchi yetu,umri na maisha yetu vitakuwa vimesimama?just asking
 
Back
Top Bottom