Makosa ya utumiaji wa R na L humu JF.

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,532
3,316
Wale wote mnaotumia R kwenye L, jitahidini mwaka 2014 muache kabisa, kwa hizi siku 6 zilizobaki endeleeni kutumia ra ra zenu ila january tafadhalini sana,
Nadhani mnajijua wale wa:

Tubadirishane
Badiri
Urimbikizaji.


Happy xmas jf.
 
Na wale wa mishahala nao inawahusu hii.
 
Back
Top Bottom