Wale wote mnaotumia R kwenye L, jitahidini mwaka 2014 muache kabisa, kwa hizi siku 6 zilizobaki endeleeni kutumia ra ra zenu ila january tafadhalini sana, Nadhani mnajijua wale wa: Tubadirishane Badiri Urimbikizaji. Happy xmas jf.