mbalaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 2,241
- 2,622
hakuna dalili kama ulivyosema.
sometimes natamani mkoloni arudi,watuatawale hata karne 2/3 hivi ndo tupewa nchi tujitawale.
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna dalili kama ulivyosema.
Zitto wako pamoja na ujinga wake haachi kumtumia Nyerere as a reference, DJ naye licha ya Mapungufu yake haachi kumtumia Nyerere kama Baba wa Mabadiliko ya Vyama vingi.Nikaona mtu anatoa mifano ya Nyerere ya karne iliyopita hasa kwenye uchumi namuomba juha wa kuwango cha juu. Nyerere alisema madini hayaozi kisha tukaishia kuvaa viraka na kupiga mswaki kwa chumvi, halafu unasimama mbele ya wanaume eti unatoa utetezi wa uchumi kisha unamtaja Nyerere! Kama umeishiwa na utetezi katika uchumi, kisha Nyerere ndio awe sehemu ya utetezi wako ni bora ukae kimya maana unatuchefua.
Zitto wako pamoja na ujinga wake haachi kumtumia Nyerere as a reference, DJ naye licha ya Mapungufu yake haachi kumtumia Nyerere kama Baba wa Mabadiliko ya Vyama vingi.
Ikiwa jina lake linakuchafua itabidi ukaishi safari nyingine au uchukue uraia wa nchi zingine
Ulitaka watu waendelee kukata miti kwaajili ya nishati? Kwenye umeme wa gesi hizo capacity charges ungetulipia wewe? Umeme wa REA ambao unaunganishwa sasa, wanavijiji wengi hawataweza kumudu gharama zake kama tutategemea gesi.Mkuu tuje kwenye comperative advantage ya hii miradi. Unadhani kulikuwa na haja ya kuharibu ule msitu for now kwaajili ya umeme wakati gas ipo na inavunwa pamoja na miundombinu yake kukamilika?
Vyanzo vya bwawa ni mvua zinazotoka nyanda za juu kusini ambako kuna miti mingi sana na zaidi ya hapo eneo hilo lina miinuko mingi inayoongeza "surface area" ya vyanzo vya maji. Gesi haipo milele na inachukua miaka milioni kadhaa kutengenzwa, hivyo ukiangalia utofauti wa kiwango cha uharaka wa kutengenezwa chanzo cha nishati (gesi au maji) na utumiaji, utaona maji niyakuaminika zaidi kuliko gesi.Take note on mabadiliko ya tabia nchi. Then tujiulize, litajaa lini? Lini litazalisha hizo mega watts?
Inaonekana umeshaweka hitimisho kwenye kichwa chako. Mambo ya kuhisi wakati hata wewe unaweza kupima flow rate ya maji na kujua ujazo baada ya muda fulani, yanashangaza. Ungekuja na data hapa kuonesha flow rate ilivyo ndogo na kupinga kuwa wamekurupuka, tungekuelewa.Nahisi hilo halijafikiriwa. Walichowaza ni kuacha legacy ya kuwa tumejenga bwana.
Hilo bwawa la Ethiopia kuchukua muda mrefu ni kwasababu Misri haitaki maji yote ya blue nile yatumike kujazia bwawa, wanaogopa wakifanya hivyo watakosa maji. Chanzo kikubwa cha mto Nile Misri ni Blue Nile uliopo Ethiopia.Hiki si kitu cha miaka kumi. Ni zaidi ya miaka 15. Angalua bwawa wanalojenga Ethiopia. Pia mpaka tuje kufikisha hizo megawatts 2000 ni more than other 10 yrs. Mkuu bwawa la umeme haliwezi kujengwa leo na kuzalisha umeme next year. Ni mchakato wa kulijaza maji na kuhakiksha liko imara then linaanza kutumika.
Paschal Beans,huwa unSisi gesi sio kipaumbele chetu!, gesi ilikuwa kipaumbele ili tuitumie kuzalishia umeme, lakini sasa kwa vile tumegundua umeme wa hydro power ndio the cheapest, tumeamua kujenga Stigler na tutaingia mkataba na Mungu mwenyewe maji yasipungue!, zile kelele za mambo ya tabia nchi, joto dunia, etc, ni kelele za mabeberu tuu.
Angalia kwenye gesi yetu, akina sisi tulisema nini na lini
Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Wanabodi, Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza...www.jamiiforums.com
From Hyatt Regency, The Kilimanjaro: the 2nd Tanzania Oil & Gas Congress. Wazungu Wengi Kuliko Wenyeji!
Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuhudhuria kongamano la pili la Oil and Gas linalofanyika hapa Hoteli ya Hyatt, Kilimanjaro, ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kasim Majaliwa, anayewakilishwa na Waziri January Makamba, (kufuatia ajali ya MV Nyerere, kumeitishwa kikao cha...www.jamiiforums.com
Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".
Wanabodi, kwa hisani ya mwana jf mwenzetu, Pasco kama unavyofahamu ukiachilia mikopo inayotolewa na Benki chini ya dirisha la Sharia (ambapo akaunti ya akina haipati riba, na mikopo inayotolewa haitozwi riba), mikopo mingine yote hutozwa riba. Viwango vya riba huwa determined na factors nyingi...www.jamiiforums.com
P
Paskali Bwana, we jasiri haachi kwao!!!huwa unaenda unarudi,unaenda unarudi!Ila nachokupendea !Ukirudi huwa unasema baadhi ya ukweli wa nyumbani kwenu,bila kumung,'unya silabi...Hongera Sana Ngosha.Sisi gesi sio kipaumbele chetu!, gesi ilikuwa kipaumbele ili tuitumie kuzalishia umeme, lakini sasa kwa vile tumegundua umeme wa hydro power ndio the cheapest, tumeamua kujenga Stigler na tutaingia mkataba na Mungu mwenyewe maji yasipungue!, zile kelele za mambo ya tabia nchi, joto dunia, etc, ni kelele za mabeberu tuu.
Angalia kwenye gesi yetu, akina sisi tulisema nini na lini
Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!
Wanabodi, Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza, mtu unaweza kupata wazimu, ukarukwa na akili, ukikamata SMG, unaweza...www.jamiiforums.com
From Hyatt Regency, The Kilimanjaro: the 2nd Tanzania Oil & Gas Congress. Wazungu Wengi Kuliko Wenyeji!
Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuhudhuria kongamano la pili la Oil and Gas linalofanyika hapa Hoteli ya Hyatt, Kilimanjaro, ambapo mgeni rasmi ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kasim Majaliwa, anayewakilishwa na Waziri January Makamba, (kufuatia ajali ya MV Nyerere, kumeitishwa kikao cha...www.jamiiforums.com
Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".
Wanabodi, kwa hisani ya mwana jf mwenzetu, Pasco kama unavyofahamu ukiachilia mikopo inayotolewa na Benki chini ya dirisha la Sharia (ambapo akaunti ya akina haipati riba, na mikopo inayotolewa haitozwi riba), mikopo mingine yote hutozwa riba. Viwango vya riba huwa determined na factors nyingi...www.jamiiforums.com
P
Mkuu acha matusi,ukiacha hiyo ya madini hayaozi...huoni kwenye uchumi alichofanyaNyerere!Nikaona mtu anatoa mifano ya Nyerere ya karne iliyopita hasa kwenye uchumi namuomba juha wa kuwango cha juu. Nyerere alisema madini hayaozi kisha tukaishia kuvaa viraka na kupiga mswaki kwa chumvi, halafu unasimama mbele ya wanaume eti unatoa utetezi wa uchumi kisha unamtaja Nyerere! Kama umeishiwa na utetezi katika uchumi, kisha Nyerere ndio awe sehemu ya utetezi wako ni bora ukae kimya maana unatuchefua.
leo anaibuka mtu na kusema "katiba sio kipaumbele chetu":na anashangiliwa!.
It is actually vice versa tatizo sio mimi my message is very simple to understand, sema sasa wewe labda ata everyday jargon za ‘oil and gas’ and finance kwako ni shida.Kwa lugha rahisi kabisa unataka kusema nini.Kwa uandishi wako Ni Kama una kitu unakijua ila hujui ukielezeje!🤗 Au haya uliyasoma ukiwa umeloweka miguu kwenye beseni.Enzi zile Karne ya 20 Wazee wa Bookworm,..
Special Reserve!