KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Ni nani na kwa sababu zipi anayeweza kuhoji uhakika wa bandiko 'straightforward' kama hili!Thanks, ubarikiwe,
Mimi ni mkweli na ukiwa mkweli too much katika jamii inayofurahia hadaa, unaonekana ni an enemy of the people.
Tumeichagua CCM kwa kura nyingi kutokana na kuikubali ilani yake. Miongoni mwa hoja kwenye ilani ile ni pamoja na kukamilisha mchakato wa katiba mpya, lakini after spending billions kwenye katiba, leo anaibuka mtu na kusema "katiba sio kipaumbele chetu":na anashangiliwa!.
Ilani ikasema mtoto wa kike akipata ujauzito shuleni, ataendelea na masomo, akaibuka mtu akasena serikali yake haitasomesha wapenda ngono! Kama sio kwa msaada wa watu wa Marekani, hili pia lingepita!
Kwenye ilani kuna energy strategic plan ya miaka 5, priority 1 ni umeme wa gesi ndio umeme wa uhakika, lakini sasa tunarudi kutegemea umeme wa maji ya mvua inayoletwa na Mungu, na kwa vile baadhi yetu wa Kanda ile sii mchezo!, mfano Mkama Rumanyika alikuwa ana i command mvua.
Hivyo tutaendelea kui command mvua, bwawa litajaa wakati wote.
Gesi tutaendeleza taratibu, ni yetu huko ardhini ilipo haihami nchumbiji, inatusubiria!.
P
Sasa tafuta humu JF aina ya 'bandiko' kama hili kutoka kwa mwandishi huyu huyu linalopewa uzito na 'ushahidi' kama hili hapa.
Kama lipo, nitaomba 'mea clupa' hamsini kwa siku ya leo - Ijumaa, Feb. 14, 2020; humu humu JF.