Makosa ya RC Kebwe wa Moro na Makonda wa Dar yanafanana lakini wa Moro kang'olewa wa Dar kaachwa

Rais kamng'oa RC wa Moro kwa uzembe lakini wa Dar mwenye makosa yanayofanana na ya wa Moro kaachwa. Inawezekana wa Dar ana Kinga kikatiba kutoguswa?!
Maana inapofika rais anaongelea mapungufu ya RC wa Dar huwa anakuwa kama vile hana uwezo naye. Tuliona hata wakati wa makontena alimuongelea kinyonge sana kana kwamba hana la kumfanya

Ogopa sana Mtu akiyajua Majina yote Matatu ya Mama yako Mzazi kwani ' Akikuroga ' huchomoi tena labda mpaka ' aliyekuroga ' akuonee Huruma na kama Rohoni mwake huwa ana tabia ya huruma ila kama hana basi ' Ulozi ' wake utakukolea mpaka 2020 hadi 2025 na ikiwezekana hadi Kufa Kwako.
 
Anamwonea huruma mtoto wa watu! Bahati mbaya kwake anaongoza mkoa wenye changamoto nyingi sana kiutawala. Kuanzia ikulu hadi chini kwa balozi yeye ndio mnene. Ni sawa bachelor holder unapomfundisha proffesor wako unakuwa km unapresent alafu unasubiri recomendations kutoka kwake.
 
Rais kamng'oa RC wa Moro kwa uzembe lakini wa Dar mwenye makosa yanayofanana na ya wa Moro kaachwa. Inawezekana wa Dar ana Kinga kikatiba kutoguswa?!
Maana inapofika rais anaongelea mapungufu ya RC wa Dar huwa anakuwa kama vile hana uwezo naye. Tuliona hata wakati wa makontena alimuongelea kinyonge sana kana kwamba hana la kumfanya
Gambosh baba.....Gambosh
 
unawezaje kumng'oa mtu anayekutafutia waganga ? ungekuwa wewe ungeweza ?
 
Ukimsikiliza Magu nikama vile huyo Makonda ata yeye keshamchoka hana jinsi tu sijui walikula yamini pamoja kwa mganga wao awawezi geukana no matter what.

Hila leo kama Makonda akumwelewa boss wake ni kwamba kapewa onyo kali na alikuwa anaambiwa hii ni mara ya mwisho.

Ningekuwa mimi Makonda ningeacha shughuli za kushinda na wasanii, kukera watu na kufanya kazi, boss leo kama vile ame hashiria yupo tayari kumtumbua ikibidi kuvunja yamini waliokula pamoja.
 
Ukimsikiliza Magu nikama vile huyo Makonda ata yeye keshamchoka hana jinsi tu sijui walikula yamini pamoja kwa mganga wao awawezi geukana no matter what.

Hila leo kama Makonda akumwelewa boss wake ni kwamba kapewa onyo kali na alikuwa anaambiwa hii ni mara ya mwisho.

Ningekuwa mimi Makonda ningeacha shughuli za kushinda na wasanii, kukera watu na kufanya kazi, boss leo kama vile kasema yupo tayari kumtumbua ikibidi kuvunja yamini waliokula pamoja.
 
Tatizo kubwa la Makonda, ni kama vile mtu aliyepewa kazi bila description. Matokeo yake ndio hayo sasa, hata mradi mdogo wa ujenzi wa sehemu ya kuhalalisha vitoweo unamshinda kusimamia.

Anakimbizana na projects zilizo juu ya uwezo wake (wababa wanaokimbia majukumu yao, marathi n.k) badala ya kuwajibika kwenye kazi zake. Sasa baba yake wa kambo kamshtukia.

Makonda apelekwe kwenye mafunzo ya kueleweshwa ni nini haswa kazi zake kama RC ili aache kutangatanga.

Kuongoza mkoa wenye watu zaidi ya milioni 5 (Almost like City State) sio kazi rahisi ya kuwa unarukiarukia mambo yasiyokuhusu.

Bosi wake kaishamuonyesha hadharani kwamba haridhiki na utendaji kazi wake.
 
Rais kamng'oa RC wa Moro kwa uzembe lakini wa Dar mwenye makosa yanayofanana na ya wa Moro kaachwa. Inawezekana wa Dar ana Kinga kikatiba kutoguswa?!
Maana inapofika rais anaongelea mapungufu ya RC wa Dar huwa anakuwa kama vile hana uwezo naye. Tuliona hata wakati wa makontena alimuongelea kinyonge sana kana kwamba hana la kumfanya
Hebu aina makosa yao
Kebwe alikua anapewa maelekezo hafanyi,Makonda kafokewa tu na bosi wake
Kufokewa na bosi haimaanishi kwamba hufai,ni alert tu
 
Back
Top Bottom