Makosa ya kikwete na tukilinganisha na makosa ya viongozi waliopita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makosa ya kikwete na tukilinganisha na makosa ya viongozi waliopita

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pepombili, Mar 2, 2011.

 1. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mpaka sasa sijaona kosa la kikwete alilolifanya toka ashike hatamu ya uongozi wa Tanzania, kuna kasumba tu zimeanzishwa na wafuasi wa chama cha chadema na viongozi wao ili wapate kumchafua JK na wameshindwa. Sasa wanatumia njia ya fujo na maandamano ili wamchafue kama walivyochafuka viongozi waliopita kabla yake naomba kama kweli munasema ukweli leteni ushahidi wa kashfa za kikwete kama kweli anahusika nazo na huku mukilinganisha na viongozi waliopita kila mmoja mabaya yake na mazuri yake.

  Kikwete ni kiongozi safi asie na machafu mkweli na mtenda haki kwa kila mmoja asiempenda kikwete achimbe shimo ajifukie.
   
 2. M

  Mutu JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sasa si ukafanye press conference uwaambie wanaichi hayo, ila nachelea kama watakuelewa
   
Loading...