Mfumo dumeHivi mwanaume akibakwa kwanini haruhusiwi kwenda mahakamani na kusema kabakwa?
msaaada jamani kwa wanaojua sheria.
Na mwanamke😅😅😅😅Mwanaume anabakwa na nani?
Tupe tafsiri ya kubaka kwanza kabla ya kukupa jibu la swali lakoHivi mwanaume akibakwa kwanini haruhusiwi kwenda mahakamani na kusema kabakwa?
msaaada jamani kwa wanaojua sheria.
Anaweza bakwa na wanaume wenzakeMwanaume anabakwa na nani?