Makosa ya IGP Sirro akiwa ofisini yaanze kukusanywa, Hana kinga kikatiba

True na sio ya kutawala kwa matakwa binafsi.
Unakuta mtawala anatamba atupeleki maendeleo kwa wapinzani,sisi ndo wenye kutaka wapi yaende na wapi yasiende na cha kutufanya hakuna, utadhani pesa ni za baba zao.
Mtawala atakiwi kabisa kupewa Kinga ya kutokushtakiwa Ina halalisha uovu mabara mengine hakuna kitu hio.
Mdogo mdogo tutafika.
 
CCM kwa msaada wa Polisiccm hutumia pesa za walipa kodi kuminya maendeleo kwenda sehemu zinazoongozwa na wapinzani utazani walipa kodi ni mifugo yao, maendeleo ni haki za walipa kodi siyo Hisani za CCM
 
Lisemwalo lipo, Kama halipo laja.... Waswahili
Tusisahau kosa la kushauri vibaya maamlaka Kisha kudharau maamlaka ( Ugaidi, kubambika kesi)
Dawa yao ni kupelekewa The Hague huko watajutia unyama wao
 
Watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania wamevumilia tu lakini hawana Aman kabsa na wabaya wao si CDF wa jwtz bali ni IGP wa Polisiccm tu wao wanajua mnyanyasaji wa upinzani ni IGP na Polisiccm wake pekee siyo vyombo vingine vya dola
2025 siro atakuwa ashastaafu atakuja mwingine atataka kurejesha heshima ya police kwa jamii kama Mangu na Said Mwema.Ccm ijufunze kusimama yenyewe.
Uchaguzi wa 2025 utakuwa ni mgumu Sana ccm hawana mtu anaeuzika.
Jiwe pamoja na kugalagala na kupiga magoti ikiwemo kutumia pesa kununua wapinzani, police,Mahera,Mtungi,na wakurugenzi bado hakupenya kwa uraisi na maeneo mengine alikatawila live akawatishia atawanyima maendeleo.Watz uelewa umeongezeka huku wanachama wa ccm ambao ni wazee idadi yao ikipungua.
Tatizo la machinga na ukosefu wa ajira kwa vijana litaaibomoa ccm 2025.2025 IGP mpya atokubali kutumika kisiasa atataka kufanya Professionalism.
 
IGP wa hovyo Tanzania alikuwa ni Omari Mahita, jamaa aliua watu wengi sana yule. Benki zote zilizokuwa zinaibiwa na kuuliwa walinzi hapa Tanzania ilikuwa ni kazi ya Mahita, alimiliki vikundi vya majambazi kufanya uharifu kumnufaisha yeye na hata Kikwete alikuwa anajuwa hili. Mahita akamatwe anyongwe haraka sana.
Unyama huo kamrithisha mwanae
 
2025 siro atakuwa ashastaafu atakuja mwingine atataka kurejesha heshima ya police kwa jamii kama Mangu na Said Mwema.Ccm ijufunze kusimama yenyewe.
Uchaguzi wa 2025 utakuwa ni mgumu Sana ccm hawana mtu anaeuzika.
Jiwe pamoja na kugalagala na kupiga magoti ikiwemo kutumia pesa kununua wapinzani, police,Mahera,Mtungi,na wakurugenzi bado hakupenya kwa uraisi na maeneo mengine alikatawila live akawatishia atawapa maendeleo.Watz uelewa umeongezeka huku wanachama wa ccm ambao ni wazee idadi yao ikipungua.
Tatizo la machinga na ukosefu wa ajira kwa vijana litaaibomoa ccm 2025.
Uchaguzi wa juzi upinzani ulishinda kila kona lakini Tumeccm Polisiccm wakurugenziccm waliupora ushindi kwa njia haramu za kishetani, kwa kifupi hakukuwa na uchaguzi bali CCM imeulawiti kuubaka kunajisi uchaguzi mkuu
 
Tuhuma zipi zenye uthibitisho ndugu, zinazomhusu IGP wetu Sirro? Sirro ni miongoni mwa Wakuu wa Vyombo vya dola anayepaswa kupewa nishani ya juu ya utumishi wa umma uliotukuka. IGP Sirro na wenzake walisimamia katiba na kuivusha nchi salama baada ya tukio zito la Machi, 17,2021. Tuwape heshima viongozi wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Pia, tutambue nao ni binadamu.
Nishani ipi iliyotumika wakati unyama wa mauwaji umefanywa kipindi chake na kuonea wapinzani imagine Sasa hivi chadema hawaruhusiwi kufanya jogging Ila ccm wao ruksa.
 
IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno.

Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama.

Siro ni doa ndani ya serikali.
Kwani mtamfanyaje? Mbona Mahita bado anadunda tu?
 
CCM kwa msaada wa Polisiccm hutumia pesa za walipa kodi kuminya maendeleo kwenda sehemu zinazoongozwa na wapinzani utazani walipa kodi ni mifugo yao, maendeleo ni haki za walipa kodi siyo Hisani za CCM
Siro na Mahita ndio waliofitisha police na Jamii, wengine wafuatao awatakubali kutumika kisiasa.
Said Mwema,Mangu was good walifanya professionalism.
Kazi ya police sio kulinda chama bali watu
 
Inabidi wamkamate Mahita haraka sana kabla hajajiua.
Mahita na kingai ni watu walipaswa wawe jela mpaka mda huu tunaozungumza kwani unyama walioutenda kwa Moses Lilenje, Lt Urio na walinzi wa mbowe si wa kuachwa upite hivi hivi tu japo watanzania wengi wameapa kuwasomea Albadiri kubwa ya mfano
 
Siro na Mahita ndio waliofitisha police na Jamii, wengine wafuatao awatakubali kutumika kisiasa.
Said Mwema,Mangu was good walifanya professionalism.
Kazi ya police sio kulinda chama bali watu
Yupo Mahita mwingine huko moshi ni rafiki mkubwa wa Sabaya ambaye alishirikiana na Sabaya kuwakamata watu hovyo hovyo kuwabambikia kesi kuwapiga kuwatesa na mambo mengineyo mengi ya hovyo zaidi
 
Lazima Kuna Kamati Itaundwa Kumsafisha Ikiwa Na Vifaa:-
JIK,DODOKI, FOMA GOLD,FOMA Limao
Halafu Atang'aa
 
Back
Top Bottom