Makosa ya IGP Sirro akiwa ofisini yaanze kukusanywa, Hana kinga kikatiba

Tuhuma zipi zenye uthibitisho ndugu, zinazomhusu IGP wetu Sirro? Sirro ni miongoni mwa Wakuu wa Vyombo vya dola anayepaswa kupewa nishani ya juu ya utumishi wa umma uliotukuka. IGP Sirro na wenzake walisimamia katiba na kuivusha nchi salama baada ya tukio zito la Machi, 17,2021. Tuwape heshima viongozi wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Pia, tutambue nao ni binadamu.
 
Kichwani hamna kitu, inajali posho posho na vitu vya bure nakuishi kwa anasa kwa gharama za wananchi
 
Wanazidiwa weledi hata na vijana wa Malawi huwezi kuta police malawi wanalinda chama
Elimu.

Sasa mtu anaingia Police akiwa na division Four ya mwisho, what do you expect? (unategemea nini?) Lazima awalambe viatu hao wanaotegemea polisi kubaki madarakani ili naye abaki kwenye ajira (Scratch my back and I will scratch yours), kwa sababu hana namna nyingine (alternatives).
 
kwanza sijui wa nini Siro hakuunganishwa kwenye hii kesi ya Sabaya !! maana yeye ndiye boss wa ulinzi na usalama wa raia na mali zao kwa hiyo kila jambo la kihalifu nchini anapata update 24/7 yaani kila siku, ndiyo maana dogo ameanza kutubu kwamba pamoja na kuwasaidia hayo yote yaani wananisondeka miaka 30 kweli, huu ndiyo mshahara wangu.

Kijana hakujua mipaka na miiko ya uongozi, hapo ndipo semina zetu elekezi pale Ngurudoto Hotel zitakumbukwa maana ziliwajenga sana vijana wasijisahau maana madaraka ni maji ya moto, yakipoa ni lazima uyaoge tu.
 
Watanzania tuna matatizo makubwa sana, Sirro kama Sirro atawezaje kuizuia CCM au Mamlaka wasiwatumie askari (police) ? ?

Au IGP pekee awazuie serikali na uongozi mzima wa nchi wasiwatumie askari au kikosi maalum cha askari ? ukijuwa wazi kuwa na yeye ni mteule wa mkuu wa nchi ? ?
Lakini unajua kwamba polisi wanatumika vibaya kukilinda chama cha mapinduzi? Na kwamba hilo halifai kwa afya ya democracy?

Hapo ndipo KATIBA inafaa iangaliwe vizuri na ilindwe, na kama kuna mapungufu kwenye hilo, irekebishwe. Ndiyo kilio cha KATIBA kilipo.
 
Hapi nikiongozi mwenye sifa za akina sabaya na makonda

Utatu mtakatifu wa Magufuli

1. Paul makonda

2. Ally hapi

3. Sabaya

Hili kundi lilifanya madhila ya kila aina kwa watanzania wasio na hatia
Mnyeti wapi ? Mrisho gambo akasogea pembeni hakutaka damu zimrukie
 
Tuhuma zipi zenye uthibitisho ndugu, zinazomhusu IGP wetu Sirro? Sirro ni miongoni mwa Wakuu wa Vyombo vya dola anayepaswa kupewa nishani ya juu ya utumishi wa umma uliotukuka. IGP Sirro na wenzake walisimamia katiba na kuivusha nchi salama baada ya tukio zito la Machi, 17,2021. Tuwape heshima viongozi wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Pia, tutambue nao ni binadamu.
Watanzania wameshiba amani hawajui hilo kabisa, hao watu hasa wawili tu CDF na IGP Sio watu wa masihala au wa kubeza,
 
IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno.

Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama.

Siro ni doa ndani ya serikali.
Tundu lisu amepanga kumpeleka The Hague pamoja na kingai na mahita walioshiriki kumpoteza Moses Lilenje na Lt Urio ikiwa ni pamoja na kuwapiga kuwatesa kuwafunga pingu saa 24 kila siku
 
Sifa kubwa iliyowapa madaraka na kupanda madaraja makonda, hapi na sabaya

1. Uvunjaji wa sheria, kanuni na Taratibu

2. Kukosa, adabu, hawakuwa na nidham ya utumishi. Kujimwambafai na kudharau kila mtu isipokuw Magufuli

3. Utawala wa udhalilishaji kwa watanzania kila siku

Inakuwaje Ally hapi bado yupo Kwenye taasisi za umma kwa uvunjifu mkubwa wa haki za raia alizofanya? Udhalilishaji nk
Evidence zipo na hadi sasa zinaendelea kukusanywa na kutunzwa, unasubiriwa uongozi safi tu. kwani evidence za sabaya kuna aliyefikiria zilikusanywa? ni mambo ya muda
 
IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno.

Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama.

Siro ni doa ndani ya serikali.
Kimeumana
 
Hapi nikiongozi mwenye sifa za akina sabaya na makonda

Utatu mtakatifu wa Magufuli

1. Paul makonda

2. Ally hapi

3. Sabaya

Hili kundi lilifanya madhila ya kila aina kwa watanzania wasio na hatia
Daud Bashite wanamuandalia ya kwenda Dodoma na akina Le mutuz cyprian Musiba Heri kisanduku nyaulingo kumpiga Risasi Tundu lisu na kesi za kuwateka MO, Msanii Roma na wengineo huku akiwa na kesi nyiingine nyingi ikiwemo kuwatengenezea kesi haramu za wauza unga ili apate kuwapora mali zao
 
Watanzania wameshiba amani hawajui hilo kabisa, hao watu hasa wawili tu CDF na IGP Sio watu wa masihala au wa kubeza,
Watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania wamevumilia tu lakini hawana Aman kabsa na wabaya wao si CDF wa jwtz bali ni IGP wa Polisiccm tu wao wanajua mnyanyasaji wa upinzani ni IGP na Polisiccm wake pekee siyo vyombo vingine vya dola
 
maana watatawala kw amujibu wa sheria na kanuni za nchi. Hii itafacilitate maendeleo haraka.
True na sio ya kutawala kwa matakwa binafsi.
Unakuta mtawala anatamba atupeleki maendeleo kwa wapinzani,sisi ndo wenye kutaka wapi yaende na wapi yasiende na cha kutufanya hakuna, utadhani pesa ni za baba zao.
Mtawala atakiwi kabisa kupewa Kinga ya kutokushtakiwa Ina halalisha uovu mabara mengine hakuna kitu hio.
 
Back
Top Bottom