Makosa makubwa kutengua matokeo ya Ubunge kwa ushahidi wa kusikia-Jaji Moses

hapa nadhani anamkumbusha jaji wa kesi ya mnyika kwamba asikurupuke.
 
msg sent and delivered. Hapo alipo anajiona mpumbavu kupita wapumbavu wote Tanzania na afrika shame on him.
 
Kwa maelezo ya wakili mmoja jijini Dsm ambaye anamfahamu jaji wa kesi ya Lema ni kwamba kabla ya kuwa jaji alikuwa court registrar, yaani alihusika na masuala ya kiutawala na si uendeshaji wa kesi. Alipata promotion za kitanzania na kuteuliwa kuwa jaji mkoani Rukwa na aliendesha kesi ya Lema Arusha kutokana na utaratibu wa majaji kupangiwa kesi kwa kupishanda kanda zao za kazi (mfano jaji wa kanda ya kusini anasimamia kesi ya kanda ya kaskazini, n.k.).
Tatizo ni kwamba kutokana na uzoefu wake kama registrar hana uwezo wa kuendesha complex cases kama za uchaguzi ambazo zinahitaji upembuzi na uchambuzi wa kina, ndiyo maana tofauti kati yake na jaji wa kesi ya Lissu inaonekana wazi kabisa.
 
Kuelewa sheria ina maana kuelewa pamoja na kutafsiri.

Huwezi uka record kwa mfano mkutano wa uchaguzi na ukaenda kuutumia mahakamani kwenye kesi ya madai, sheria inaruhusu kwenye makosa ya jinai tu.

Ndio maana juzi juzi kuna kesi imetupwa huko Tabora. Ushahidi wa tapes zao ulikataliwa.

kama ndo sheria ulojifunza hii ni bora tusiwe na wanasheria
 
Majaji wote wapewe somo na jaji huyu anayeheshimu sana taaluma yake, siyo jaji anayeambiwa fanya hivi anafanya kweli. sasa shule ya nini kama unaelekezwa cha kufanya. Na huyu hatapata kesi ya kusimamia tena, watu watakuwa wanasema hawana imani naye, maana dhambi aliyoifanya itamfuata popote hadi kifochake, kwanza hana maisha marefu.
 
Back
Top Bottom