Makosa haya mpaka lini? ... wanaotafuta kazi hizi hapa

bhikola

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,130
1,660
15.2 SIFA ZA MWOMBAJI [FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial]Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV waliofuzu mafunzo ya cheti yasiyopungua mwaka mmoja katika fani ya ‘Food Production’ yanayotolewa na Vyuo vya Forodhani (Dar es Salaam), Masoka (Moshi), Arusha Hotel, Y.M.C.A (Moshi), VETA (Mikumi) na Vision Hotel (Dar es Salaam) au vyeti vingine vitakavyotambuliwa na Serikali na wenye uzoefu wa kazi kwa muda usiopunguja miaka (5) mitatu. [/FONT][/FONT]


tangazo hili linapatikana kwenye tovuti zifuatazo
[FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial]: www.ajira.go.tz , www.utumishi.go.tz na www.pmoralg.go.tz [/FONT][/FONT]
[FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial][/FONT][/FONT][FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial][/FONT][/FONT][FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial][/FONT][/FONT]
 
Back
Top Bottom