Makosa ambayo vyuo vingi vya Tanzania wanafanya

Ni kweli ni muhimu kwa wahadhiri kuwa na uzoefu lakin inatakiwa tahadhari ya juu sana maana sasa wale wasio na uzoefu inakuwaje?inabidi wafundishe huku chuo kikiwafanyia utaratibu wa kufanya real practical na kuwa na uwezo wa kutumia current technology.

Hili suala la uzoefu ni gumu sana mfano unaomba kazi wanakwambia wanataka mfanyakazi, ndio ,lakin awe na experience ya miaka 3.sasa wale waliotoka vyuoni watafanya kazi wapi?
serikali/vyuo na taasisi mbalimbali zinatakiwa ziandae utaratibu wa kuwatrain wafanyakazi wao kuelekea kwenye ujuzi mpya.Unakuta baadhi ya wahadhiri hata tu kuunganisha projector ya kuweka slides za notes hawezi mpaka asaidiwe.hii sio powa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom