Makos general enterprises

Oct 18, 2015
12
3
Vijana Wa Kazi za Lodge wanatafutwa bila kujali jinsia. Lodges zipo bagamoyo na dar Es Salaam maeneo ya airport. Vigezo ni awe na uwezo wa kusoma na kuandika, msafi kiujumla, mwenye lugha nzuri kwa wateja na pia mchapa kazi.
Kwa maelezo zaidi piga no:0692778072
 
Sidhani kama utakuwa vibaya kama utaorodhesha majukumu yake mkuu. Coz matangazo mengi huwa naona wanaweka hii kitu kiongozi.

Shukran.
 
Natafuta mwalimu wa kuanzisha naye Open school Tunduma has a Nursery school,awe anaishi Tunduma na kituo Tunduma.anitafute no.0757658783
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom