Makontena ya Makinikia Bado Yapo Bandarini?

Kichumi

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
588
515
Wakuu mimi swali langu ni hilo tu kwa leo.

Je yale makontena ya makinikia bado yapo Bandarini hadi napopandisha huu uzi? Mwenye kufahamu atujuze na tupicha atupie hapa tuone. Maana sisi wengine hatuamini hadi tuone.

By the way kama yapo, what's the way forward? Si yarudishwe Bully yakafukie yale mashimo.
 
Back
Top Bottom