Makontena Mawili Yakiwa na Pembe za Ndovu Yakamatwa Zanzibar!

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,040
Makontena hayo mawili yamekamatwa ktk bandari ya Zanzibar yakiwa na pembe za ndovu zilizokuwa zimefichwa ndani ya magunia ya dagaa. Shehena hiyo ya Dagaa imetokea Mwanza na imepakiliwa ktk boti ikitokea bandari ya Dar es Salaam. Polisi inawashikilia watu wawili ambao inasemekana mmoja wao ni nahodha wa boti hiyo.
Souce: ITV BREAKING NEWS.. Saa 10 jioni.
 
From Mwanza all the way to Zanzibar huko kote walipitaje
Ila Tanzania zaidi ya uijuavyo vyote vinawezekana
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Walizisahau waarabu 'waliopewa' wanyamapori wetu hai, wameamua kuzihifadhi kwanza kwa ndugu zao Zenji.
 
Mabeberu walituzuia kuuza pembe zetu, tumezikalia tu, kama watz wenzetu wamepata namna ya soko, waache wakauze kwani hatutegemei kupata kibali cha kuuza pembe hizo kwa fitina iliyoko duniani kwa sasa1
 
iundwe tume ya kuchunguza kama kweli ni pembe za ndovu wa tanzania.ikibainika report itawekwa wazi.magamba mwaka huu wanalo.mia
 
iundwe tume ya kuchunguza kama kweli ni pembe za ndovu wa tanzania.ikibainika report itawekwa wazi.magamba mwaka huu wanalo.mia
<br />
<br />
Duh! Ngoja nipekue makabrasha yangu nione itakuwa tume ya ngapi hii unayopendekeza!
 
mwishoe watasafirisha ndovu wazima. usalama wa taifa mpo wapi 2najua jeshi la polisi ni uozo mtupu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
iundwe tume ya kuchunguza kama kweli ni pembe za ndovu wa tanzania.ikibainika report itawekwa wazi.magamba mwaka huu wanalo.mia
<br />
<br />
TUME ZA NJI HII NI NJIA NYINGINE YA UHARIBIFU WA HELA ZETU! WACHA WACHKUE MBONA MAFISADI WAMEIBA ETI NJI HII ARIJOJO KUNA MTZ ANATRILION KATHAA!KHAAAAAA
 
Back
Top Bottom