Makongoro Nyerere: Urais ni sumu, Mzigo na msongo na sio chakula cha jioni!

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Mtia Nia Makini Kwa Tiketi Ya CCM Ndugu Charles Makongoro Nyerere anasema maneno mazito na yenye hekima hebu yapime na utafakari hatima ya Taifa lako kuelekea Uchaguzi wa 2015:

''Urais sio nafasi ya kuonyesha mtu.... Kwa sababu Wezi waliweza kushika madaraka mara moja haimaanishi itakua hivyo milele...

Urais ni sumu,mzigo na msongo sio chakula cha jioni.... Nikumbushe... Ikulu imejengwa nipo ndani yake mpaka namaliza elimu za juu na kuoa.. Naenda kufanya mabadiliko ambayo Mwalimu Nyerere angefanya.....sio vinginevyo''.
 
Anayo hoja
Hakika anayo haoja kubwa sana ..Urais ni Roho tena yenye sifa ya kuwatumikia watu kwa upendo na weredi mkubwa utakaokuwa na maono ya kuifanya jamii ione fursa za kujiletea maendeleo kwa uwazi mkubwa.
 
DSN

ikulu imejengwa na mjerumani,baadae ikakarabatiwa na muingereza,aache uongo mapema hivi,mwalimu nyerere katuacha tumevaa kaniki,tunafulia majani ya mpapai, kama ana hija hiyo aache tu
 
Last edited by a moderator:
sasa kama ni sumu!!! niaje mpaka anawahonga wajumbe ? ili iwaje?kumbe huyu ni mnafiki na MLEVI!!

""MAHAKAMANI HARAKA SANA"""
 
Ikulu ni sumu kwa vipi?tunajua sote kuwa sumu inaua sasa iweje yeye na waonyesha nia wengi hivi kuitafuta sumu kwa udi na uvumba!
Apeleke ulevi wake huko mabarabarani!
 
Ikulu imejengwa niko ndani yake.

So what's the point?

Mpaka namaliza shule nimo Ikulu, kwa hiyo official experience yako hapo ukiwa katoto ka shule Ikulu ni nini, kucheza kombolela kwenye gardens za Ikulu?

I just don't get the point here.
 
Ikulu imejengwa niko ndani yake.

So what's the point?

Mpaka namaliza shule nimo Ikulu, kwa hiyo official experience yako hapo ukiwa katoto ka shule Ikulu ni nini, kucheza kombolela kwenye gardens za Ikulu?

I just don't get the point here.

Mnakurupuka kuchangia bila kutafakari content ya bandiko lake. Tusiwe wepesi kiasi hicho ebu kaa kidogo angalia maudhui yaliyomo kwenye hiyo kauli yake.
 
Back
Top Bottom