Makongoro Nyerere:Sisi tumeshindwa kukaa upinzani kisa, mizengwe je walobaki wataweza?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mbunge wa zamani wa Arusha mjini ambaye alikuwa NCCR mageuzi, ambaye pia ni mtoto wa mwalimu Nyerere aliyewahi kuwa mbunge wa afrika mashariki amerusha kijembe kwa wapinzani n.a. kumsifia mtatiro,

 
Ina maana yote aliyoshindwa kufanya yeye anadhani kila mtu atashindwa? Yeye ni nani?
Asijivunjie heshima yake bure,hata mwanangu wa nursery school kamwe hawezi sema hivyo!!
 
huyu sio mpambanaji ni muoga mbona wenzie akina shangazi fatu, maria sarungi, mange kimambi hawako hivyo!? Hatufai hata kidogo!
 
Huyu nlimdharau siku ile bungeni anavyoomba kura akawaambia wabunge shikamoo, mzee mzima aliwaamkia kina Goodluck mlinga, nassari na esta matiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom