Makongoro Nyerere ndani ya BBC

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
624
Ndugu zangu watanzania wazalendo, leo kupitia BBC star tv leo Saa 3 usiku katika kipindi cha Dira ya Dunia nitazungumza mawili matatu. Karibuni kuniskiliza.

Hii ni taarifa iliyowekwa kwenye 'ukurasa wake' wa facebook.
 
Mim nitakusubiri kuanzia saa mbili ila weka tahadhali tanesco watazima umeme,mafisadi hawatataka umma usikie utachosema maana wanajua madhara yake.
 
Back
Top Bottom