Uda
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 811
- 624
Ndugu zangu watanzania wazalendo, leo kupitia BBC star tv leo Saa 3 usiku katika kipindi cha Dira ya Dunia nitazungumza mawili matatu. Karibuni kuniskiliza.
Hii ni taarifa iliyowekwa kwenye 'ukurasa wake' wa facebook.