Makongoro Nyerere: Lowassa nisamehe sana, ila ni Lazima tukuvue gamba haraka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongoro Nyerere: Lowassa nisamehe sana, ila ni Lazima tukuvue gamba haraka!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiwalanikwagude, Oct 25, 2011.

 1. k

  kiwalanikwagude Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hey Jf kumekucha,

  Hali si shwari kati ya kapteni Makongoro Nyerere na Edward Lowassa. Taarifa za kina zinaeleza vuta nikuvute hiyo imezidi kupamba moto huku safari hii Makongoro akiamua kuvunja ukimya na kuweka bayana maamuzi yaliyofikiwa na NEC ya kumvua gamba Lowassa ni lazima yafanyike mara moja pasipo kusita.

  Taarifa zaidi ambazo tumezinasa kwa njia ya simu kutoka huko Dar es salaam maeneo ya Kinondoni Biafra kutoka kwa mwandishi mmoja wa gazeti la Dira ya Mtanzania zinabainisha kuwa ni Makongoro Nyerere ndiye aliyeanika taarifa za Lowassa kutaka kuyaanika maovu ya Kikwete wiki moja iliyopita na huku wiki hii Makongoro huyohuyo akiibuka na madai mengine mazito kuhusu azma ya Kikwete kuwakingia kifua Lowassa na Chenge ili wasitemwe kwenye kikao kijacho, Makongoro amekaririwa akisema "hata kama kiwete akitaka amlinde huyu lowassa, kweli kaka yangu lowassa atatusamehe ni lazima tumng'oe bila kusita, itabidi tupinge hoja za kikwete kwa maana hana ubavu wa kutulazimisha"
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mimi nauliza ni kosa au jambo gani alilofanya Lowassa ambalo CCM wengine hawakufanya??????????
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  utaumiza kichwa bure, hutapata jibu kamwe, nilishawahi kujiuliza hivyo bila majibu mwisho nimeamua kunywa konyagi tu.
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  makongoro anatamaa nawivu sana tena wa kijinga
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kwanza tujue yeye Makongoro yuko kundi gani kati ya hayo mawili yanayovuana nguo hadharani?
   
 6. T

  Tata JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Kuhusu hii tamthiliya ya kuvuana magamba mimi naona wanasahau kuwa gamba linalotakiwa kuvuliwa ni CCM yenyewe na wala siyo mtu mmoja mmoja ndani ya CCM.
   
 7. T

  Tata JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Wivu wa kijinga na wivu wa kike upi zaidi?
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Mbona kama hizi taarifa ni kama hazina ukweli! kwakua mwenye kuelezewa kwenye sakata la kuvuana Magamba tamko hili kalitoa Madaraka Nyerere? au Makongoro Nyerere?
   
 9. v

  valour Senior Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kama hata Makongoro mwenyewe humjui kwanini tuamini taarifa yako?
   
 10. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ya ngoswe?
   
 11. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
  Kwanza toa hiyo picha ya Madaraka Nyerere ndio tukusome vizuri.
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Mkuu ulianza kupata picha au ulianza kupata taarifa?
   
 13. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  We dared! we succeeded! We are forging ahead! LOWASA MUST GO.
   
 14. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uyo jamaaa nae kaja kutia aibu tuu hapa mana kafanya kitu ambacho ata mie kanishangaza na stor kwa style hii inaweza kuwa longo longo
   
 15. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mkuu unaakili muno. Ccm yote imeoza. Kama ungesikiliza dk 45 itv jana six akihojiwa waweza pata picha ilivyo ndani ya chama la jembe na nyundo. Sasa wanatumia hivyo vifaa kumalizana. Naamini ndani ya magamba kuna watu wabaya zaidi ya wale watuhumiwa wa kujivua gamba. Thanks mkuu Marytina.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  kuwanyima wenzake uhondo
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,292
  Likes Received: 19,447
  Trophy Points: 280
  mwachie rejao
   
 18. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  naombeni nyagi dry.
   
 19. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Uyu Madaraka bana si Makongoro!...my clasmate and roommate enz zetu za shule...ila cba yao aliwalea kigumu!
   
 20. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu umeniacha hoi na signature yako, Nimeikubali.
   
Loading...