Uchaguzi 2020 Makongoro Nyerere achukua fomu ya kuwania ubunge Butiama

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mtoto wa Hayati Mwalimu Nyerere amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Butiama mkoani Mara. Ikumbukwe hivi karibuni Madaraka Nyerere ambaye ni ndugu yake naye aliita waandishi na kutangaza nia ya ubunge jimbo hilo.

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ametangaza kuwania nafasi ya ubunge wa Butiama

Makongoro amesema haya
Leo nimechukuwa fomu ya kugombea ubunge jimbo la Butiama, Hii ni katika hatua ya awali naomba tushirikiane wana Butiama wenzangu bila ya kujali dini zetu wala makabila yetu.

Chama cha Mapinduzi ni chetu sote na Tanzania ni yetu wote.


Nyerere.JPG
 
Tatizo la Makongoro ana masihara mengi sana, sio mtu wa result oriented, yaani hana roho mbaya na mtu ila naona wazi maendeleo kwake ni kitu kigumu sana, maneno mengiiii zaidi utendaji hafifu, ni mtu wa historia sana yaani mtu wa kuongelea past tu, of which watu wanaongelea sana sana future. Anyway kila la kheri kada mwenzangu. Mm nadhani Madaraka Nyerere is better off katika uongozi kuliko Makongoro, ila Makongoro ni muongeaji zaidi
 
Mtu na kakake wote wanagombania Jimbo moja? Madaraka kachukua fomu pia kugombea ubunge Jimbo hilo hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom