alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,198
Katika watu wenye wakati mgumu mno ni huyo Mahanga!
Baadhi yetu sisi tulimpa ushauli wa bure kabisa kwamba asijiaminishe huko alikokimbilia kwani wanasiasa wakubwa kama El si jambo la ajabu kugeuka:na imekuwa.
Mahanga hakutuelewa na akajiachia na akathubutu hadi kuachia Wadhifa wa NW tena kwa mbwembwe na mapambio kwa kukiponda CCM eti kisa El!Sasa kiko wapi!?
Inasemekana CCM hawataki hata kumuona!Huko alipo napo kwa sasa haaminiki tena!
Somo hapa lazima tujifunze kuwa na kiasi.Na shughuli ya mwenziyo usiivalie kanga kiunoni!
Asiye sikia la mkuu....!