Makongoro Mahanga tulikutonya na hukutonyeka!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Katika watu wenye wakati mgumu mno ni huyo Mahanga!

Baadhi yetu sisi tulimpa ushauli wa bure kabisa kwamba asijiaminishe huko alikokimbilia kwani wanasiasa wakubwa kama El si jambo la ajabu kugeuka:na imekuwa.

Mahanga hakutuelewa na akajiachia na akathubutu hadi kuachia Wadhifa wa NW tena kwa mbwembwe na mapambio kwa kukiponda CCM eti kisa El!Sasa kiko wapi!?

Inasemekana CCM hawataki hata kumuona!Huko alipo napo kwa sasa haaminiki tena!

Somo hapa lazima tujifunze kuwa na kiasi.Na shughuli ya mwenziyo usiivalie kanga kiunoni!

Asiye sikia la mkuu....!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,396

Nimekudharau sana juzi ulivyomsifia Rostam. Kama JK na ujanja wake wa mjini aliingizwa pabaya na Rostitamu, je huyu peasant wa ccm mpya si ndio atageuzwa kituko?
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,396
2,000
Chadema umewadharau,
Slaa umemdharau,
Lowasa umemdharau,
Mimi umenidharau!Utawadharau wangapi ewe mkosaji!?
Hoja hapa ni Mahanga iweje uingize agendazo za dharau!?

Huna hoja bali nakuona mpika Majungu tu. Mwanaume mzima unaleta hoja ya kihanithi kuzungumzia maisha ya mwanaume mwenzio. Ww ni nani wa kumshauri mwanaume wakati unategemea ajira ndio watoto wako waende choo?
 
alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Huna hoja bali nakuona mpika Majungu tu. Mwanaume mzima unaleta hoja ya kihanithi kuzungumzia maisha ya mwanaume mwenzio. Ww ni nani wa kumshauri mwanaume wakati unategemea ajira ndio watoto wako waende choo?
Tushawashtukia wazee wa kutafutiana ban acha nikupuuze!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,396
2,000
Nyongeza;RA atabaki ni King maker wa Siasa za Tz kwa wakati huu hilo kubali kataa!
Na Siasa za ki-Afrika watu kama yeye huwezi kuwakosa.

Huyo Rostam ndiye aliyempeleka Jk pabaya na Magu alipoingia madarakani alianza mikwara kwamba atakaa na watu wa aina hiyo mbali, saa hii ndio wanampangia siasa zipi za kufuata. Na ww ulivyo zuzu unaona sawa na unamsifia mtu wa aina hiyo. Kama watu wa hivyo kwenye siasa za Afrika hawakosekani kipi kinawafanya mlielie Lissu anapoongea na wazungu?
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,998
2,000
Jiwe hoi na Vita ya ufisadi aliowananga wote Leo ndio anawahitaji sana kuliko wanavyomuhitaji maana ,uchaguzi huo umekaribia na yeye hajui chochote kuhusu kampeni ,jinsi ya kupata pesa ,mikakati ,mipango ,utekelezaji naona bora ale matapishi yake ,vipi sio kubadili gia angani ,ila vipi Jamani Lumumba mahakama ya mafisadi inaendeleaje?
 
WILE

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
4,183
2,000
Nyongeza;RA atabaki ni King maker wa Siasa za Tz kwa wakati huu hilo kubali kataa!
Na Siasa za ki-Afrika watu kama yeye huwezi kuwakosa.
RA na EL wamerudi CCM mikia imekatwa mtajidanganya weeeh lakini hao jamaa mambo yao yalikuwa yanaenda mrama. Hamna cha King maker wala Mama maker enzi zao zimeshaisha hii mida wanajaribu kusave biashara zao.
 
Nyamtalakyono

JF-Expert Member
Dec 17, 2015
794
500
Huyu jamaa akili zake nadhani haziko sawa. Mimi nilimshangaa sana kuhama CCM. Sasa wewe Mahanga bila kukubembeleza mimi kama ndugu yako nakuamuru rudi CCM haraka sana.
Katika watu wenye wakati mgumu mno ni huyo Mahanga!

Baadhi yetu sisi tulimpa ushauli wa bure kabisa kwamba asijiaminishe huko alikokimbilia kwani wanasiasa wakubwa kama El si jambo la ajabu kugeuka:na imekuwa.

Mahanga hakutuelewa na akajiachia na akathubutu hadi kuachia Wadhifa wa NW tena kwa mbwembwe na mapambio kwa kukiponda CCM eti kisa El!Sasa kiko wapi!?

Inasemekana CCM hawataki hata kumuona!Huko alipo napo kwa sasa haaminiki tena!

Somo hapa lazima tujifunze kuwa na kiasi.Na shughuli ya mwenziyo usiivalie kanga kiunoni!

Asiye sikia la mkuu....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Jiwe hoi na Vita ya ufisadi aliowananga wote Leo ndio anawahitaji sana kuliko wanavyomuhitaji maana ,uchaguzi huo umekaribia na yeye hajui chochote kuhusu kampeni ,jinsi ya kupata pesa ,mikakati ,mipango ,utekelezaji naona bora ale matapishi yake ,vipi sio kubadili gia angani ,ila vipi Jamani Lumumba mahakama ya mafisadi inaendeleaje?
Chadema hawakula matapishi yao kwa El?
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,444
2,000
Alipojiuzulu Mahanga alifikia hatua ya kumlaumu raisi wa wakati huo JK eti miaka yote hiyo aliyofanya naye kazi alikuwa anamteua kuwa NAIBU WAZIRI tu badala ya UWAZIRI eti kwa sababu alikuwa mtu wa Lowasa!. Mijitu isiyo na shukurani ni ya kuiacha tu ipambane na hali zao!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom