Inside10 JF-Expert Member May 20, 2011 26,060 23,940 Oct 2, 2011 #1 Viongozi tajwa hapo juu leo watakuwa na mkutano na wana Tabata kimanga watakuwa wakijadili mipango ya maendeleo. Source gari la matangazo.
Viongozi tajwa hapo juu leo watakuwa na mkutano na wana Tabata kimanga watakuwa wakijadili mipango ya maendeleo. Source gari la matangazo.
Bei Mbaya JF-Expert Member Nov 24, 2010 2,262 843 Oct 2, 2011 #2 kata ya Kimanga diwani wake ni Chadema, ni mkakati wa kuirudisha kata hiyo mikononi mwa ccm
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Oct 2, 2011 #3 la kuongea atakua nalo lakini halitakua jipya no ngonjela zilezile