Makongoro Mahanga na Jerry Silaa kuunguruma leo Tabata Kimanga.

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
24,979
21,716
Viongozi tajwa hapo juu leo watakuwa na mkutano na wana Tabata kimanga watakuwa wakijadili mipango ya maendeleo. Source gari la matangazo.
 

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,262
840
kata ya Kimanga diwani wake ni Chadema, ni mkakati wa kuirudisha kata hiyo mikononi mwa ccm
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom