Makongoro Mahanga: Makonda, ukiteuliwa Soma na elewa vizuri mamlaka, madaraka na mipaka yako ya kazi

Anaandika Makongoro Mahanga

WARAKA MFUPI KWA MKUU WANGU WA MKOA, MH. MAKONDA.

Kuna mambo nimejifunza katika utumishi wangu wa umma na kwenye siasa kwa miaka 40 sasa.

Ni kwamba ukipewa cheo:

1. Kwanza, soma na elewa vizuri mamlaka, madaraka na mipaka yako ya kazi kama yalivyo kwenye instruments za kazi yako na sheria na kanuni zilizopo, na kila siku fanya kazi kwa kuzingatia hayo tu.

2. Pili, pamoja na umuhimu wa kujiamini kwenye utendaji wako, usitumie dharau, majivuno, kiburi na much-know.

3. Tatu, hata kama aliyekuteua au boss wako ni rafiki yako sana, anakusifu na kukupongeza sana, na hata kukupa maagizo yanayokiuka mamlaka yako na sheria zilizopo, lazima ujiongeze ili usitoke kwenye misingi niliyoeleza kwenye namba moja na mbili hapo juu.

Kwa maoni yangu wewe Mkuu wangu wa Mkoa, hujazingatia hizo kanuni za utumishi bora, na ona sasa... wanamichezo na wasanii wanakupinga, wanasiasa na wabunge wa chama tawala na wa upinzani wanakupinga, mawaziri wanakupinga, watumishi wa Mungu wanakupinga, wanasheria wanakupinga, Spika anakupinga, watumishi wa chini yako wanakupinga na sisi wananchi tulio wengi tunakupinga....

....Na kipindi hiki aliyekuwa anakupa ujeuri kutokana na namba tatu hapo juu, atakutosa... na hii ni kwa sababu hukufuata misingi ya namba 1 na 2 hapo juu, na pia hukujiongeza hapo kwenye namba 3 ..... Hakika atakutosaaa kama vile hakujui.. ndivyo walivyo mabosi... chunga maneno yangu haya...

Nduguyo Makongoro Mahanga
Dah... Sasa wewe uliyekuwepo kwenye siasa kwa miaka 40 kwa kufuata principles hizo... na bila kupingwa na yoyote... UMEISAIDIA NINI JAMII?
 
Maneno meeeengi, lakn hayana substance yoyote.

Hongera kwa kupoteza muda wako kwa kujibu maneno yasiyo na 'substance' inaonesha wewe ni wa namna gani, unajua hii haina substance lakini una respond! Duh. Anyway, wewe si wa kwanza kushindwa hoja, tabia ya kutokujibu hoja mnaposhindwa na kuzua mengine, imezoeleka. Usipate shida kufikiri sana Mungu katuumba tofauti sana, sasa kama wewe hujishughulishi na kuwa na taarifa nyingi na sahihi ndio kabisaa wanaofikiri tofauti utazidi kuwachukia kwani utatamani uweze kuzijibu na kugaragaza hoja zao lakini utaishia hivi hivi kutafuta pa kukimbilia.
 
ukijaribu kufuatilia kwa ukaribu zaid utagundua 95%humu ni mateja ndo maana wanapingana na Mh makonda
 
Hongera kwa kupoteza muda wako kwa kujibu maneno yasiyo na 'substance' inaonesha wewe ni wa namna gani, unajua hii haina substance lakini una respond! Duh. Anyway, wewe si wa kwanza kushindwa hoja, tabia ya kutokujibu hoja mnaposhindwa na kuzua mengine, imezoeleka. Usipate shida kufikiri sana Mungu katuumba tofauti sana, sasa kama wewe hujishughulishi na kuwa na taarifa nyingi na sahihi ndio kabisaa wanaofikiri tofauti utazidi kuwachukia kwani utatamani uweze kuzijibu na kugaragaza hoja zao lakini utaishia hivi hivi kutafuta pa kukimbilia.

Mkuu, naheshimu mawazo ya kila mtu, ikiwa ni pamoja na ya kwako. Ndivyo nilivyosema hapo juu. Au umeshasahau tumeanzia wapi? Lakini nafikiri una shida ya either inferiority/superiority complex. Vyote ni vibaya. Ndiyo maana unaita wenzako majina mabaya wanapotoa hoja zao kama ulivyofanya kwa Mh. Makongoro. You have to have some respect for others.
 
Wewe acha kutoa hoja za kishenzi kwamba mkuu wa mkoa kakaa muda kidogo kaleta impact, hivi ni impact gani zaidi ya mkoa wa dsm kuzalisha shule 6 za kumi la mwisho matokeo secondari, au kupangishia akina masogang na kujishongondoa mbele ya kamela! Hebu peleka ujinga wako lumumba ndo muwe mnajadili upuuz kwa ajili ya buku saba
 
utaratibu umeshindaje sasa? Haya malalamiko yote ya nini sasa? Kama unaamini utaratibu umeshinda jiulize huo utaratibu umeshinda lini? Miaka ya nyuma wakati Makonda akiwa anasoma chekechea au leo Makonda Mkuu wa mkoa? Tumefikaje hapa mimi na wewe kuingia katika mjadala. Kama unaamini sasa kuna vita basi hiyo vita imeanzaje?
Utakuwa na tatizo mahali fulani! Hoja kubwa, ambayo wafuasi wa Makonda mlikuwa mnaipuuza, ilikuwa ni kufuata taratibu na sheria zinazosimamia hivyo vita dhidi ya madawa. Na moja ilikuwa ni kupinga kutaja majina ya watu kuwahusisha na madawa na baadaye eti wakahojiwe polisi ikionekana hawana hatia waachiwe. Sasa kipenzi chako ameonywa na kuacha wewe usiyejitambua unaendelea kubwabwaja hovyo hapa!
 
Huyu Mahanga hili sasa ni jambo la pili anakosoa na linafanyiwa kazi la kwanza ilikuwa uteuzi wa viti 10 maalumu vya Ubunge vya Rais, hii awamu ya wakurupukaji.
Si ndio maana kurupukaji jingine lidomokaya linaendelea kukurupuka hata halielewi nini kinaendelea!
 
Utakuwa na tatizo mahali fulani! Hoja kubwa, ambayo wafuasi wa Makonda mlikuwa mnaipuuza, ilikuwa ni kufuata taratibu na sheria zinazosimamia hivyo vita dhidi ya madawa. Na moja ilikuwa ni kupinga kutaja majina ya watu kuwahusisha na madawa na baadaye eti wakahojiwe polisi ikionekana hawana hatia waachiwe. Sasa kipenzi chako ameonywa na kuacha wewe usiyejitambua unaendelea kubwabwaja hovyo hapa!

Labda kama umesimuliwa, hakuna mtu aliyepewa go ahed na rais kama Makonda. Hakuna hoja kubwa uliyokukereketa na ukaijibu kama ile niliyoisema mimi na Madabida akamsoma Steve Job kuhusu watu wanaoweza kubadilisha dunia na kuleta impact. Hao ni kama Yesu Mtume Muhamad, Hitler, Stalin, Galileo Galilei, Makonda na wengineo ambao utartibu uliopo kwao haufanyi kazi yenye tija kwa watu. Makonda kafanya na kila mtu, Tanzania nzima anaimba wimbo wake. Kwa taarifa yako Waziri Mkuu amejua juzi tu kuwa yeye ni Mwenyekiti wa hiyo kamisheni. Rais mwenyewe hakupewa ushauri kuhusu uteuzi, ameshtuka juzi baada ya Makonda kuita wauzaji central na wabunge kupiga kelele. Kudadadeki, chezea Makonda wewe!
 
Mkuu, naheshimu mawazo ya kila mtu, ikiwa ni pamoja na ya kwako. Ndivyo nilivyosema hapo juu. Au umeshasahau tumeanzia wapi? Lakini nafikiri una shida ya either inferiority/superiority complex. Vyote ni vibaya. Ndiyo maana unaita wenzako majina mabaya wanapotoa hoja zao kama ulivyofanya kwa Mh. Makongoro. You have to have some respect for others.

Hayo majina yapo katika matumizi ya lugha na inapendeza sana yakitumika yanapotakiwa kwa mifano na ushahidi kama nilivyofanya.
 
Eti siku ile aliopigiwa simu na presdaa akamuweka loudspeaker! Badala ya kumwita mh. Raisi....eti nakusikia baba"!

Ni bora mh. Raisi ampangie kazi nyingine kam kitwanga"
mtahangaika sana na makonda ila hakuna atakayepona anayevunja sheria kwa namna yoyote ile. Badala ya kutoa ushauri au mbinu ya namna ya kupambana na wahalifu, nyie mnahangaika na mambo madogo madogo na kumjadili makonda. watu kama nyie hamna nia nzuri
 
Anaandika Makongoro Mahanga

WARAKA MFUPI KWA MKUU WANGU WA MKOA, MH. MAKONDA.

Kuna mambo nimejifunza katika utumishi wangu wa umma na kwenye siasa kwa miaka 40 sasa.

Ni kwamba ukipewa cheo:

1. Kwanza, soma na elewa vizuri mamlaka, madaraka na mipaka yako ya kazi kama yalivyo kwenye instruments za kazi yako na sheria na kanuni zilizopo, na kila siku fanya kazi kwa kuzingatia hayo tu.

2. Pili, pamoja na umuhimu wa kujiamini kwenye utendaji wako, usitumie dharau, majivuno, kiburi na much-know.

3. Tatu, hata kama aliyekuteua au boss wako ni rafiki yako sana, anakusifu na kukupongeza sana, na hata kukupa maagizo yanayokiuka mamlaka yako na sheria zilizopo, lazima ujiongeze ili usitoke kwenye misingi niliyoeleza kwenye namba moja na mbili hapo juu.

Kwa maoni yangu wewe Mkuu wangu wa Mkoa, hujazingatia hizo kanuni za utumishi bora, na ona sasa... wanamichezo na wasanii wanakupinga, wanasiasa na wabunge wa chama tawala na wa upinzani wanakupinga, mawaziri wanakupinga, watumishi wa Mungu wanakupinga, wanasheria wanakupinga, Spika anakupinga, watumishi wa chini yako wanakupinga na sisi wananchi tulio wengi tunakupinga....

....Na kipindi hiki aliyekuwa anakupa ujeuri kutokana na namba tatu hapo juu, atakutosa... na hii ni kwa sababu hukufuata misingi ya namba 1 na 2 hapo juu, na pia hukujiongeza hapo kwenye namba 3 ..... Hakika atakutosaaa kama vile hakujui.. ndivyo walivyo mabosi... chunga maneno yangu haya...

Nduguyo Makongoro Mahanga
mtahangaika sana na makonda ila hakuna atakayepona anayevunja sheria kwa namna yoyote ile. Badala ya kutoa ushauri au mbinu ya namna ya kupambana na wahalifu, nyie mnahangaika na mambo madogo madogo na kumjadili makonda. watu kama nyie hamna nia nzuri
 
Kwa kiburi alichonacho na ulimbukeni anaona safari yake ya siasa itadumu milele amesahau aliempa kiburi anamtumia akitoka pale atalindwa na katiba milele yeye sijui atajificha wapi kwa awamu zinazokuja au na yeye atajilimbikizia mali awe kama GSM wanakula milele??? Kuna kiongozi gani kwa sasa kwenye chama au serikali atapenda kufanya nae kazi kiherehere kama hicho? Ambacho sasa anatoa amri hata kwa mawaziri? Nadhani hakuna itakuwa mwisho wa siasa zake na atakufa njaaa.....hakika!! Ajipange upya hata kama amedanganywa aombe ubunge nyamagana hatapata!!!!! Tupo na tuombe uzima
ni amri gani ambayo makonda alitoa kwa mawaziri??? jamani tuweke akiba ya maneno
 
Wewe ndio........kweli!! Tafuta amri aliompa , Ndlaichako kwenye elimu!! Tumia simu yako na mtandao kujua zaidi!!
mkuu mimi sitafuti kwenye simu. wewe ndio umesema hapa, kwa hiyo mkuu una wajibu wa kututajia hiyo amri . wajibika kwa kauli zako mkuu, plz
 
Anaandika Makongoro Mahanga

WARAKA MFUPI KWA MKUU WANGU WA MKOA, MH. MAKONDA.

Kuna mambo nimejifunza katika utumishi wangu wa umma na kwenye siasa kwa miaka 40 sasa.

Ni kwamba ukipewa cheo:

1. Kwanza, soma na elewa vizuri mamlaka, madaraka na mipaka yako ya kazi kama yalivyo kwenye instruments za kazi yako na sheria na kanuni zilizopo, na kila siku fanya kazi kwa kuzingatia hayo tu.

2. Pili, pamoja na umuhimu wa kujiamini kwenye utendaji wako, usitumie dharau, majivuno, kiburi na much-know.

3. Tatu, hata kama aliyekuteua au boss wako ni rafiki yako sana, anakusifu na kukupongeza sana, na hata kukupa maagizo yanayokiuka mamlaka yako na sheria zilizopo, lazima ujiongeze ili usitoke kwenye misingi niliyoeleza kwenye namba moja na mbili hapo juu.

Kwa maoni yangu wewe Mkuu wangu wa Mkoa, hujazingatia hizo kanuni za utumishi bora, na ona sasa... wanamichezo na wasanii wanakupinga, wanasiasa na wabunge wa chama tawala na wa upinzani wanakupinga, mawaziri wanakupinga, watumishi wa Mungu wanakupinga, wanasheria wanakupinga, Spika anakupinga, watumishi wa chini yako wanakupinga na sisi wananchi tulio wengi tunakupinga....

....Na kipindi hiki aliyekuwa anakupa ujeuri kutokana na namba tatu hapo juu, atakutosa... na hii ni kwa sababu hukufuata misingi ya namba 1 na 2 hapo juu, na pia hukujiongeza hapo kwenye namba 3 ..... Hakika atakutosaaa kama vile hakujui.. ndivyo walivyo mabosi... chunga maneno yangu haya...

Nduguyo Makongoro Mahanga
Facts
 
Labda kama umesimuliwa, hakuna mtu aliyepewa go ahed na rais kama Makonda. Hakuna hoja kubwa uliyokukereketa na ukaijibu kama ile niliyoisema mimi na Madabida akamsoma Steve Job kuhusu watu wanaoweza kubadilisha dunia na kuleta impact. Hao ni kama Yesu Mtume Muhamad, Hitler, Stalin, Galileo Galilei, Makonda na wengineo ambao utartibu uliopo kwao haufanyi kazi yenye tija kwa watu. Makonda kafanya na kila mtu, Tanzania nzima anaimba wimbo wake. Kwa taarifa yako Waziri Mkuu amejua juzi tu kuwa yeye ni Mwenyekiti wa hiyo kamisheni. Rais mwenyewe hakupewa ushauri kuhusu uteuzi, ameshtuka juzi baada ya Makonda kuita wauzaji central na wabunge kupiga kelele. Kudadadeki, chezea Makonda wewe!
Itakuwa na wewe umeathirika, hata kama sio kwa madawa ya kulevya! Mwambie kipenzi chako arudi atangaze hayo majina!
 
Umekosa hoja! Vita imekuja baada ya Makonda kuibua majina. Waziri Mkuu alikuwa hajui nafsi yake wala rais alikuwa hajapewa makarabrasha ya kuteu kamishna wala hakukuwa na mapendekezo yoyote. We vimba wee mpaka upasuke, Makonda is a hit, kijba kikuume weeeee, Makonda amebamba, hata akifa kesho ataacha historia ambayo itabaki kichwani mwako mpaka siku utakayoenda kaburini. Makonda ni kama Yesu, impact yake itakumbukwa, maadui wa haki watampinga, watamchukia na raha ya mioyo yenu ni kutaka asulubishwe. Makonda ameshashinda, ataishi ndani ya kila mtanzania, atabaki hata mwili wake utakapotoweka katika dunia hii, makonda ataishi muda mrefu zaidi ya muda wa mwili na roho yake kuishi duniani. Makonda amekuwa moja ya alama muhimu katika Tanzania, ameingia katika hadhi za akina Sokoine. Long live Makonda. Msumariiiii huooooo!
 
Back
Top Bottom