Makongoro kwenye sherehe ya Nmb Dodoma aomba kazi ya kuingia acheze kwenye timu ya Rais Magufuli

cluster ndara

JF-Expert Member
Apr 1, 2018
211
318
Nasikiliza radio hapa kwenye ufunguzi wa tawi la Nmb makongoro baada ya kupokea zawadi ya Nmb kwenda kwa mama yake.

Kama mwakilishi wa mama yake ameanza kutoa hotuba ya chama na kutamba akisema kuwa yeye ni mchezaji wa akiba akimaaanisha kuomba kazi mwa Rais Magufuli amesema mengi juu ya shida za wachezaji akiba akiomba kazi ili aingie acheze.

Sasa mimi nimeshangaa huyu kapewa kazi ashukuru hii shughuli ni ya Nmb kwanini asishukuru au azungumzie Nmb?

Hadi anaaambiwa muda umeisha bado yeye yuko na Rais Magufuli akilialia.

jamani vijana tafuta hela ukiwa na nguvu huko watu wanamaaanika kuomba omba kazi wakati wamezeka yani kanikera kwanini anaharibu kazi Yy watu kutumia muda mwingi akiomba kazi?
 
Nimeamua ku mute sauti mpaka atakapo maliza.....naona waliompa wanajuta kumpa muda.
 
Ndo tatizo la kuwa mtoto wa mkubwa,
ila wewe zikapelea kidogo
Amesema eti kuna mtu alimweeendea akamuuliza mbona magufuli hajakupa kazi? Daaaaah huyu mzeeee Kwa nini amekuwa na njaaa hivyo Wakati baba yake alitutawala muda mrefu?
 
Nimejikuta namuhurumia tu jamani maana sio kwa kujipendekeza huko,,,,,anaongea mno
 
Back
Top Bottom