Makongoro amfungia safari Leticia Nyerere

Madaraka alimpa talaka? Kama ndiyo aombe amri ya mahakama Leticia azuiwe kutumia jina hilo. Kama hamna talaka na Leticia hajaolewa na mtu mwingine basi Makongoro hana hoja.

Hii nayo pilipili ya shamba.Wakija kuelewana sijui atajifichia wapi tobaaaaaaaaaaaa!
 
Makongoro aelimishwe ya kuwa ndani ya kanisani NDOA haivunjwi na mwanadamu. Kiroho Madaraka na Letisia ni wanandoa na kama wanatembea nje kati yao basi huyo ni mzinifu tu.

Mimi sikujua ya kuwa Makongoro anaupeo finyu hivyo yaani mambo ya ndoa yanatoka wapi na sifa za kuwa mbungeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Jamani mimi nina kondoo wawili sijui niwafanyeje lakini ningependa kumtumia Makongoro awachunge maana sioni kazi nyingine awezayo kufanyaaaaaaaaaa LETICIA TUNAMWOMBEA ASHINDE HICHO KITI CHA UBUNGE HALAFU AWAALIKE MASHEMEJI ZAKE KWENYE KARAMUUUUUU

Huyu mzee kweli anaelekea kubaya ndo mtia nia wetu?????
 
Je kama ingetokea kukawa na familia nyengine yeye jina la nyerere sijui ingekuwaje .kuna siku moja kilitoka kichwa cha habari kwenye ukurasa wa mbele kwenye gazeti ka DAR LEO .kilisema 'MWINYI ABAKA' gazeti lilinunukiwa haraka haraka hata mimi nilili nunua haraka .nilipofungua ndani page 2 .nilishangaa ,kumbe mwinyi wenyewe ni mchonga mbao wa yombo . Kuna jina mali ya ya mtu au familia?
 
Back
Top Bottom