Makonde dancers_ (Mapiku & Sindimba original hakika huu ndiyo muziki wa kweli

AridityIndex

Senior Member
Mar 22, 2011
149
38
Wadau ngoja nisiwanyimeni utamu wa mambo huu, najua mko wengi mnakasirishwa na miziki mingi ya bongo isiyo na kichwa wala miguu. Huu ndiyo muziki wa kweli. Wale wazee wenzangu mtakumbuka enzi zetu za akina cosmas Katembo.


 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom