Makonda wengi hawakupendi ingawa una ushawishi na morali ya kufanikisha mambo

soine

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,113
2,329
Kichwa chajieleza.

Matendo na maneno yake yanamfanya asikubalike. Ila ukweli ni kwamba ana ushawishi na morali ya kufanikisha azima yake.

Tubu na geuka, una mengi mbeleni
 
Makonda hahitaji upendo wako mkuu! Hata Yesu alichukiwa.

Then ukiona unapendwa na kila mtu jichunguze vizuri huenda kuna mahala unaharibu
 
Kichwa chajieleza.

Matendo na maneno yake yanamfanya asikubalike. Ila ukweli ni kwamba ana ushawishi na morali ya kufanikisha azima yake.

Tubu na geuka, una mengi mbeleni
Jiulize kwa nini hakufanya hivi vs Senegal?.Ila jamaa anapatia kweli. Anajua ni wapi atapatia credits. Kwa hili nampongeza.
 
Kichwa chajieleza.

Matendo na maneno yake yanamfanya asikubalike. Ila ukweli ni kwamba ana ushawishi na morali ya kufanikisha azima yake.

Tubu na geuka, una mengi mbeleni
Amefanikisha nn mkuu
 
Kichwa chajieleza.

Matendo na maneno yake yanamfanya asikubalike. Ila ukweli ni kwamba ana ushawishi na morali ya kufanikisha azima yake.

Tubu na geuka, una mengi mbeleni
Hana chochote Bashite, ni zero brain na hawezi kutekeleza jambo lolote likafanikiwa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom