MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Miradi mingi inakufa Kusini mwa jangwa la sahara kwa sababu mfano wakti watu wanahitaji Elimu ya malaria wao wanaletewa Chandarua na kuishia kuvitumia Kuvulia samaki.au Mfano Kujenga Machinga Complex wakati hakuna mmachinga anayeweza kuuzia humo na kufanikiwa.
Mkuu wa wilaya umekuja na wazo zuri la Walimu usafiri bure. Kwa mwitikio wa washikadau wa huo mradi mzuri ni kweli kuwa hawakushirikishwa au walisahaulika au walipuuzwa. Na hicho kimekuwa chanzo cha kufa miradi mingi Tanzania hata kabla ya kuwa Operation.
Stakeholders (washikadau/wahusika wa mradi) Management
1:WENYE LOW POWER NA LOW INTEREST, Mfano Makondakta na Madereva.
----->panga jinsi utakavyowafuatilia kuaona kama watafanya kama ulivyopanga.
2:WENYE HIGH POWER NA LOW INTEREST, Mfano wamiliki wa daladala, Mbunge wa upinzani
-----> keep them satisfied, wape taarifa mapema wajulishe lengo na pia jenga mahusiano mazuri
3:WENYE LOW POWER AND HIGH INTEREST, hapa wapo walimu,wazazi wanaopenda watoto wapate elimu, wakuu wa mashule, majirani wanaosumbuliwa lifti kila siku, etc
-------->keep them informed, kama ulivyofanya, wajulishe kwa wakati kupitia media etc
5: WENYE HIGH POWER AND HIGH INTEREST, mfano..Vyama vya waalimu,Wafanyakazi,
--------> Manage them closely, hawa wananguvu ya kufanya mpango au mradi mzuri uliopanga kufa.
hii kitu imethibitishwa na kujaribiwa duniani kote na imeonekana inafanyakazi na kuleta matunda chanya.