Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 639
- 1,531
Tangu ziara ya kero ya wananchi kigamboni 20 november 2016; Ulituahidi kwamba kile kipande cha barabara tayali umeongea na mkuu wa nchi na kakubariki kwamba ndani ya wiki mbili toka siku hiyo kingeanza kujengwa kwa kiwango cha lami, cha ajabu hadi hivi leo 15 january 2017, Bado ujenzi haujaanza;
sisi wananchi tukieleweje?
sisi wananchi tukieleweje?