unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,505
- 2,862
Una issue mbili za kushugulika nazo kwa sasa..
-Kashfa ya kutumia jina ambalo sio lako.
Wewe unaitwa Daudi Bashite.. Eleza jina la Paul Makonda umelitoa wapi. Clear yourself kwenye hii kashfa mbaya ya kununua vyeti baada ya kupata div zero form 4.
-Kuitikia wito wa Mahakama.
Ulivyokuwa unataja majina ya wauza unga ulitaka watuhumiwa wote watii wito wako kwa kwenda central police. Na wewe sasa TII wito halali wa Mahakama kwa kwenda Mahakamani kwenye kesi aliyokufungulia Mh Mbowe.
Mambo ya viwanda ni usanii mwingine unaleta..!!
Viwanda bila Mtaji umewahi kuona wapi??
Acha MZAHA.
Fanya hayo niliokueleza.
Naomba kwa interest ya utu ,akishaprove kuwa yeye. Ni paul urudi hapa utuambiee hasa lengo lako duniani ni nini.