falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,288
Paul Makonda sasa nakutaka utumie nguvu hiyo hiyo uliyotumia kuwatetea walimu wa kinondoni wasilipe kodi,sasa tafadhali utumie nguvu hiyohiyo kuwatetea wamiliki wa daladala wapunguziwe kodi zao wanazolipa TRA ili kuwe na uwiano sawia ,manake hapa sasa wamiliki wa daladala wanaelemewa na mzigo wa watu wasiolipa daladala.wanafunzi wanajeshi walimu hawa wote hawalipi nauli