Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,334
- 72,798
Bwana mkubwa wa DSM Paulo Makonda umekuja kasi kuzuia watu wasiangalie filamu za nje kwa fikra zako hilo litafanya soko la filamu za "wasanii wako" likue.
Kama uko sahihi basi kwa vile watu wanapenda mpira lakini siku mechi za Mtibwa, Katavi, Stand united au Ndanda nk hawaendi kuangalia wao wanaangalia Arsenal, Man U au Barcelona inabidi upige marufuku vituo vinavyoonyesha visionyeshe ili KUKUZA
SOKA LA BONGO.
Tusiwaonee tuu hao wamachinga, bali kuwe na standard moja kwa wote. Vinginevyo mawazo yako yataonekana ZERO kabisa mbele ya watumiao akili.