Kupitia vyanzo mbalimbali vya habari nimesikia ikielezwa kuwa Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na Siro ambaye ni mkuu wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam wamepelekewa samnsi ya wito wa mahakama katika kesi ya Kikatiba. Viongozi hawa kwa nafasi walizo nazo ikitokea wakakaidi huo wito wa mahakama je ni chombo gani kinaweza kuwalazimisha wafike mahakamani kwa lazma?