Tofauti ni uzuzu na ugenious! Zuzu anajifanya anajua kuliko anayejuaninachokiwaza sitakisema maana maskioni mwa wengi kinaweza kisieleweke vizuri ila muda utasema badala yangu. sijui nimeandika nini
Kiandike tu... Muda ndio huu... Huu ni 2019ninachokiwaza sitakisema maana maskioni mwa wengi kinaweza kisieleweke vizuri ila muda utasema badala yangu. sijui nimeandika nini
Nimekuelewa sana mkuu. Zuzu anajifanya kuwa yuko juu ya genius.Tofauti ni uzuzu na ugenious! Zuzu anajifanya anajua kuliko anayejua
Sent using Jamii Forums mobile app
umewaona wapi?Nauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake kun nini?
Ana gushepu fulani hivi unafaa kutafunwaMakamba anamkosea heshima naibu rais,amwamkie
Kabisa !Makamba anamkosea heshima naibu rais,amwamkie
Weka pichaNauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake kun nini?
alafu nilimsikia Kusaga akifanya utambuzi maalum tena (special recognition) kwa bashite tena hapo ni baada ya kuwa ametambua uwepo wa JPM, Waziri Mkuu, Jk...nikajiuliza hizo salam maalum kwa Bashite hazina ujumbe uliojificha kwel?!Hivi huyu Zuzu amepewa nafasi ya kuongea pale Karimjee? Au nafasi yake imefutwa kwenye ratiba?
Mtaalamu wa IT aliliona limitako kwenye utekaji wa Mo. Ndiyo alikamatwa baada ya kuwa wa kwanza kwenda kwa Mo. Limitakko linajuaNauliza tu wadau maana naona hata wakikutana hawasalimiani? Kila mmoja anajifanya busy na yake kun nini?
Mission imekamilikaalafu nilimsikia Kusaga akifanya utambuzi maalum tena (special recognition) kwa bashite tena hapo ni baada ya kuwa ametambua uwepo wa JPM, Waziri Mkuu, Jk...nikajiuliza hizo salam maalum kwa Bashite hazina ujumbe uliojificha kwel?!
u maalum huo kwa bashite ktk tukio lile ni nini hasa aliomaanisha kusaga?!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale mkuu ni saikoloji imetumika... Maana kiitifaki alitakiwa awepo kwenye mtiririko wa utambuzi.... Lakini yy baada ya utambuzi akajifanya Kama kamsahau then akampa special recognition kwake.. Kwa sababu anazozijua yy... Pia kwenye speech ya January makamba kammaliza Kabisa jamaa.alafu nilimsikia Kusaga akifanya utambuzi maalum tena (special recognition) kwa bashite tena hapo ni baada ya kuwa ametambua uwepo wa JPM, Waziri Mkuu, Jk...nikajiuliza hizo salam maalum kwa Bashite hazina ujumbe uliojificha kwel?!
u maalum huo kwa bashite ktk tukio lile ni nini hasa aliomaanisha kusaga?!.
Sent using Jamii Forums mobile app