Makonda, Mnyeti, Gambo na Mwanri mapengo yenu kwenye mikoa mliyoondoka yanaonekana

Uchumi wa Kati ukifika mjini ofisi zipo tupu zimejaa mioshi ya mama lishe wanapikia kuni ndani ya ofisi zilizokuwa bize mda wote kabla atujapaa uchumi wa Kati.
 
Tayari wana mitaji ya kujiajiri acha wakajiajiri. Hii Cake ya Taifa acheni tugawane wote. Msianze kusema fulani alikuwa anakula Cake vizuri hata amungunyi, kwa hiyo aendelee tu kula,
Kweli kabisa Cake ya Taifa ni ya wote,na tutakula kwa zamu,atakae taka kujimilikisha Cake yote ya Taifa,kaa la Moto halitamuacha salamaa!!
 
Makonda ni raia asiye na kazi sawa na mzuzuraji Kama sie. Leo Rashidi Gwajima ndie boss wa Makonda. Leo Gwajima ana hadhi kiserikali na kichama pia kuliko Makonda
Cake ya Taifa hii lazima tule kwa zamu nikuwomba uhai tu na sisi zamu zetu zikifika tutakula tu kwa njia moja ama nyingine!!
 
Yale matamko yao yasiyotekelezeka ndio mapengo?

Au ule ubabe wao usio na kichwa wala miguu?

Huyo Mwanri ametuachia pengo la ule "usanii" wake tu.
CCM na watu wake wa ovyo kabisa.
Na mambo yao ya hovyo hovyo tu.
 
Tangu kuondoka kwa Wakuu wa Mikoa kama Makonda, Mnyeti, Gambo na Mwanri mikoa hiyo kama imesinyaa kwa baadhi ya mambo.

Sisemi kuwa maendeleo ndiyo yamesinyaa ila kuna baadhi ya mambo kama hayako sawa. Ule usafi wa kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi mkoani DSM kama imekosa muendelezo wake. DSM imekuwa kama sio Jiji Kuu la biashara tena.

Kule Arusha nako zile heka heka za hapa na pale hazisikiki tena kwenye vyombo vya habari hata kwenye mitandao pia. Tabora ama Toronto chini ya Mwanri imekuwa kimya sana hata attention ya media sio sana. Kadhalika kule Manyara kwa Mnyeti kuko kimya sana.

Mara nyingine unaweza usiwajue hata Wakuu wa Mikoa hiyo kwa majina yao. Wamekuja na style mpya kabisa ya kuongoza mikoa hiyo.
Na hapa ndipo unapoweza kujua uongozi sio tu kuwaletea maendeleo watu bali pia jamii inakukubali kwa kiwango gani.

Kazi za hawa Wakuu wapya wa mikoa zimekuwa hazionekani sana kama za watangulizi wao, zimekuwa kama kazi za wahandishi wa maji, wanafanya kazi kubwa sana lakini hazionekani kwani baada ya kumaliza kazi zao huwa wanafukia mabomba chini ya ardhi na kuzificha udongoni.

Kuna baadhi ya wakuu wa mikoa wanashindwa na Wakuu wa Wilaya katika kuonesha uwezo wao wa kusimamia mambo. Kijana kama Ole wa Hai anaonekana sana kwa kuwa muibuaji wa mambo mengi.

Kusema ukweli kuna mikoa hasa hasa DSM na Arusha inawahitaji wakuu wa mikoa wenye kelele nyingi kwa sababu ya asili ya mikoa yenyewe. Kwa sasa Mkuu wa Mkoa anayeonekana kufaa kwa kelele ni wa kule Mbeya. Amekuwa kama kinara wa kuonekana sana kuwashinda wenzake. Na hapo ndipo tunawapo wakumbuka akina Makonda na wenzake.

Lakini pia kuna watu wanapenda sana uongozi lakini kama uongozi hauwataki wao. Makonda bado ataendelea kuwa kinara wa enzi zake. Inaonekana kama uongozi unampenda sana Makonda. Absence yake bado inaonekana sana mpaka leo mjini DSM.

Sio kila mtu anaweza kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM na Arusha. Makonda kafanya transformation nyingi sana mkoani DSM
amehusika katika mauaji ya Ben saanane, utekaji wa Roma Mkatoliki, mashambulizi ya Tundu Lissu, utekaji wa Mdude Chadema na mauaji ya Azory Gwanda.

Wala usimwite Jasiri bali sema hana mshipa wa fahamu ya ubinadamu. Kwenye kutaka madaraka anaweza kufanya chochote kama ambavyo alimshambulia Mzee Joseph Sinde Warioba mwaka 2014. Huwezi kusema huu ni ujasiri. Huyu Makonda mwenyewe hata jinsia yake haiaminiki kwakuwa yasemekana ni shoga vilevile.
 
Sio usafi tu, hata usalama pia. Juzi kati vijana wa panya road walifunga mitaa ya Pugu, Kigogo fresh na Majohe kisa eti mwenzao kauliwa wakati akiiba pikipiki. Maduka yalifungwa kabisa na watu wakalazimishwa kujifungia ndani. Enzi za Makonda ho ujinga usingeusikia

Sio usafi tu, hata usalama pia. Juzi kati vijana wa panya road walifunga mitaa ya Pugu, Kigogo fresh na Majohe kisa eti mwenzao kauliwa wakati akiiba pikipiki. Maduka yalifungwa kabisa na watu wakalazimishwa kujifungia ndani. Enzi za Makonda ho ujinga usingeusikia
Acha uongo. Mi nakaa majohe. Hao panya rd miaka yote wapo kinondoni na mwananyamala hata Temeke. Makonda alikuwa wapi.

Huku kwa Mnyalu Majohe hakuna hiyo kitu. Pale makaburini walijitokeza wanausalama walienda msako nyumba kwa nyumba kwa wazazi wao.

Viongozi wa sasa wako makini achana na hao unaowasema kila tukio wanatembea na video camera.
 
Yale matamko yao yasiyotekelezeka ndio mapengo?

Au ule ubabe wao usio na kichwa wala miguu?

Huyo Mwanri ametuachia pengo la ule "usanii" wake tu.
Mkuu ukimbahatisha Makonda mwambie namsalimia.
 
Cake ya Taifa hii lazima tule kwa zamu nikuwomba uhai tu na sisi zamu zetu zikifika tutakula tu kwa njia moja ama nyingine!!
True itafika yetu ngoja iishe hii ya jiwes and company wanaitafuna hasaa,Hadi ipite tutaambulia makombo
 
Yale matamko yao yasiyotekelezeka ndio mapengo?

Au ule ubabe wao usio na kichwa wala miguu?

Huyo Mwanri ametuachia pengo la ule "usanii" wake tu.
Kwa kweli mapengo ya ushamba wa uongozi yako wazi kabisa, hayawezi kufurukuta kwa Mzee wa busara Kimanta Arusha na Kunenge Dsm.
 
Back
Top Bottom