Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,936
- 19,129
Mkuu wa mkoa wa Dar anaandamwa kuwa ni kilaza, alipata 0 form 4 na watu wanadhani yupo hajui chochote ila jamaa hapa anazungumza Kiingereza safi kabisa ambacho mtu aliyesoma Kayumba na kupata 0 O level hawezi ongea