Makonda: Mkivimbiwa makande muache kuchezea viongozi

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Huu ujumbe maalumu kwa watanzania,

Akiongea na EATV Mr Makonda amewataka vijana kuwa na nidhamu kwa wenye mamlaka na Kuwa heshimu maana heshima haifundishwi vyuoni

Screenshot_2019-11-01-17-08-27.jpeg
 
hakuna marefu yasio na ncha. Magufuli ni rais wetu sote na kamwe usimchonganishe na wananchi wake. Maana kuwa kiongoz nikuwa mtu wa watu huwezi iharibu siku moja yakuzaliwa kwa Rais wetu nakuwa chuki ya milele. Nakataa nakama Mh Rais kamtuma ikulu na msemaji wa serikali waseme.
 
Huu ujumbe maalumu kwa watanzania,

Akiongea na EATV Mr Makonda amewataka vijana kuwa na nidhamu kwa wenye mamlaka na Kuwa heshimu maana heshima haifundishwi vyuoni

Mh Rais ni wawote nasema tena Rais ni wawote na kama Makonda yeye ndio msemaji wa ikulu na undercover wa Rais basi sawa ila kilio chetu kitafika ikulu nanina uhakika majibu yanakuja. Sisi sio taifa la huzuni sisi sio taifa lakutotambuwa vipaji na heshima na utu wa mwanadam. Kama Makonda katumwa basi tujuweMakonda ndio msemaji wa jamuhuri ya muungano wa tanzania
 
Back
Top Bottom