Makonda mbona kimya kuhusu Roma Mkatoriki?

anashughulikia swala la filamu za nje kujaa mkoani kwake....hujaona jana kaonana na bongo muvi na kuahidi kuzuia uingizwaji wa filamu za nje mkoani hapa?
tumuhurumie jamani hawezi kujigawa akimaliza hili atafanya hilo....inshaaalah!!!
Hii kitu inaitwa nitoke vipi
" Napendaga makiki kama msaniiiii "
 
watu wanaishi na madukuduku moyoni, siku vurumai ikishakuanzishwa hapa nchini hata na kibaka tu, watu wengi sana wanaweza kujitokeza barabarani kuunga mkono. viongozi wetu wajifunze kwa nchi zingine zilizopata mapinduzi. pia hawatakiwi kufumbia macho ukweli as if nchi hii ni ya kwao peke yao, wajue ni yetu sote na wananchi ndio wamewapigia kura. gadafi alikuwa anatoa vitu vingi kwa wananchi lakini siku walipomgeuka hakuamini, ni kwasababu walilimbikiza dukuduku na hasira mioyoni, na hasira ikijaa moyoni mtu huweza kufanya jambo la kipumbavu.
Dah.... Ndiyo maana Libya sasa wanakula bata kuliko wakati wa Gaddafi
 
Haahaaa Makonda the great. Hamuwezi lala bila kumtaja.ombeni habari zake ziandikwe
 
MIMI NI RAIS NINAYEJIAMINI. SIHITAJI TENA VIKURA VYENU IKIFIKA 2020.
Dah... Alisema pia kule jimboni miaka ile... "Nyumba zitavunjwa na kama mkitaka kuninyima kura na mninyime"....Nyumba zikavunjwa na akapata kura nyingi zaidi..... Wenye akili huru walimuelewa...
 
Back
Top Bottom