Makonda, kwa style hii....Mhh!!!

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18
Wadau, leo wakati nakuja mjini asubuhi kulitokea kitendo ambacho kilishangaza na kustua abiria wengi katika daladala tuliyopanda... Hivyi unafahamu kuna style imeibuka kwa makonda kubeba shilingi kumi kumi esp asubuhi n usipokuwa aware unapotoa 250 n esp usipoangalia, konda hujifanya kukuonesha shs 10 plus ile 50 yako n kudai hukumpa 250, insteady 60/=????

Kwa bahati nzuri jamaa nahisi alikuwa makini leo ambaye alifanyiwa kitendo kile na kudai c kweli kwa sababu alipotoka kwake alikagua pesa alizobeba na hiyo shs 10 haikuwa yake. ilikuwa mzozo mkubwa though fainali konda ilibidi abwage manyanga.... Lakini, kwa style hii tutafika???
 
Pamoja na kula vichwa lakini bado wanataka wale na mifuko ya watu, bongo kila mtu anajinyakulia kile kilicho upeoni ili kuganga njaa kwa siku hiyo.
 
kwa style hii ha2fiki 2napataka kufika mayb 2badilishe njia!!!!!!!!!
 
Wadau, leo wakati nakuja mjini asubuhi kulitokea kitendo ambacho kilishangaza na kustua abiria wengi katika daladala tuliyopanda... Hivyi unafahamu kuna style imeibuka kwa makonda kubeba shilingi kumi kumi esp asubuhi n usipokuwa aware unapotoa 250 n esp usipoangalia, konda hujifanya kukuonesha shs 10 plus ile 50 yako n kudai hukumpa 250, insteady 60/=????

Kwa bahati nzuri jamaa nahisi alikuwa makini leo ambaye alifanyiwa kitendo kile na kudai c kweli kwa sababu alipotoka kwake alikagua pesa alizobeba na hiyo shs 10 haikuwa yake. ilikuwa mzozo mkubwa though fainali konda ilibidi abwage manyanga.... Lakini, kwa style hii tutafika???

Hiyo kaka ni nafuu mie ilinitokea wakati nilipokuwa Bongo last year,nilipanda dala dala na kimwana si unajua tena,nilikuwa na mwekundu wa msimbazi kutoa konda akasema zuia kwanza sina change kwa kujiamini si unajua tena bibie yuko pembeni?nikatulia huku gari inamove taratibu,nilipofika niendako kumwambia konda mzee ka change kangu akasema poa poa kanipa 500 dah nilicheka kwanza,nikamwambia mkuu nimekupa wa msimbazi akasema acha ubrothermen wako,duh kaka nilitamani kumpa kichwa kwanza maana mahasira yangu ya ughaibuni kutafuta cash halafu aile live 10000 yangu?sis do akasema msamehe tu,mzozo wa nini?thank god dada mwingine aliona wakati natoa yule simba ndo konda watu wakamzomea akaona aibu na kutoa..Bongo acha mchezo wa ukilala tunakula upo sana wazee..
 
Back
Top Bottom