Makonda kuweka umeme shule zote za msingi na sekondari jijini Dsm

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,513
141,246
RC Makonda ameyasema hayo katika kikao chake na mameneja wa TANESCO wa Dsm/Pwani alioutisha kujadili tatizo la umeme lililopo jijini kwa sasa. Meneja wa mkoa amemthibitishia Makonda kuwa tatizo la mgao wa umeme usio rasmi utaisha ndani ya siku mbili kuanzia leo. Pia meneja huyo amesema watafanya tathmini ya kuunganisha umeme kwa shule zote za Dsm na kuikabidhi kwa Makonda haraka iwezekanavyo kwa ajili ya utekelezaji wa mradi.

Source: Channel Ten Tv!
 
Ni jambo zuri
But nilidhani awamu hii hakutokuwa ni migao ya hovyo ya kukatika kwa umeme?
Sijui tren ya umeme ikianza itakuaje
 
Hakuna kitu alichofanya kikafanyika Mpaka leo hii,haya kaingia kwenye umeme Ngoja tuone nayo...

Ova
Mkuu Yale Magali Ya Police Yalio Tengenezwa Moshi Unayakumbka , Sahiv Kuna Magari Yanatengenezwa Na Kampun Ya Dar Coach
 
Back
Top Bottom